mkagulu original
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 703
- 172
Kuna kambi moja ya wakimbizi iliyoko Kenya iitwayo 'KAKUMA'
Chunya wengi ni wasafwa , usenge kwa kisafwa inatokana au ina maana ya KUFYEKA . Kwa kisafwa ukimwambia mtu kufyeka utamwambia USENGA , .. Sasa yawezekana walishindwa kutafsiri vyema wakasema usenge.Nimepigwa butwaa kukuta shule inaitwa hilo jina la SHOGA hasa ukizingatia mkanganyiko wa kimaadili unao ikumba nchi yetu kwasasa kutoka na kushamiri kwa vitendo vya Ushoga. Nashauri wizara ya Elimu ione umuhimu wa kubadilisha jina la shule hiyo.
![]()
Kwa kisafwa usenge ina maana ya KUFYEKA ila hutamka USENGANdugu, Wanyakyusa hawatokei Chunya. Chunya wanaishi Wabungu na Wasafwa. Hilo ni jina la ukoo huko Chunya kama ilivyo ukoo wa Senge huko Singida