Shule ya Marrys mtaua Watoto wetu kwa mlundikano huu kwenye Kipanya

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397

Hawa ni watoto wa shule ya Marys ingawa sijajua ni ya Mkoa gani lakini kwa aslimia 100 ni Tanzania

> Ndugu Watanzania hasa wenye watoto wanaosoma zile shule za kuchukuliwa na School Bus hivi mmewahi kufuatilia usalama wa Watoto wenu au mko busy na mambo yenu?

> Mmmewahi kufuatilia matumizi ya ada zenu, je mnatendewa haki?

Ebu shuhudie hao Malaika walivyorundikwa kwenye hicho kipanya. Wamiliki wa Shule wabadilike

MREJESHO: SCHOOL BUS ILIYOBEBA WANAFUNZI(WATOTO) 48 YAPIGWA FAINI NA KUACHIWA
-
Kwa mujibu wa vyanzo rasmi kutoka Jijini Mbeya, JamiiForums imethibitisha kuwa mmiliki wa gari hiyo alitozwa faini ya elfu 30
-
Aidha, faini hiyo ni kama onyo na endapo kosa hilo litajirudia basi wamiliki watafikishwa Mahakamani
 
Na humo ndani ufuska wote unafanyika esp wanapokuwemo wakubwa.
 
Hawa ni watoto wa shule ya Marys ingawa sijajua ni ya Mkoa gani lakini kwa aslimia 100 ni Tanzania

> Ndugu Watanzania hasa wenye watoto wanaosoma zile shule za kuchukuliwa na School Bus hivi mmewahi kufuatilia usalama wa Watoto wenu au mko busy na mambo yenu?

> Mmmewahi kufuatilia matumizi ya ada zenu, je mnatendewa haki?

Ebu shuhudie hao Malaika walivyorundikwa kwenye hicho kipanya. Wamiliki wa Shule wabadilike

Fedha mbele uhai baadaye, hatukumbuki mambo yaliyotokea Arusha mwaka ule
 
Hawa ni watoto wa shule ya Marys ingawa sijajua ni ya Mkoa gani lakini kwa aslimia 100 ni Tanzania

> Ndugu Watanzania hasa wenye watoto wanaosoma zile shule za kuchukuliwa na School Bus hivi mmewahi kufuatilia usalama wa Watoto wenu au mko busy na mambo yenu?

> Mmmewahi kufuatilia matumizi ya ada zenu, je mnatendewa haki?

Ebu shuhudie hao Malaika walivyorundikwa kwenye hicho kipanya. Wamiliki wa Shule wabadilike

Sio school bus za hiyo shule tu, eti kwakuwa askari wamelikamata.

Hii ni tabia ya karibu shule nyingi hapa Dar es Salaam wanawarundika wengi katika gari moja, na mengi ya hayo school bus ni mabovu ile mbaya.

Nafikri kuna haja siku za usoni kufungua uzi wa kila shule yenye mabusi mabovu na kurundika wanafunzi kama hivyo. Shukrani sana kwako mleta mada
 
Write your reply...mimi nliwahi shusha mwanangu kweny school bus na shule nkahamisha, nlikuta siti wanne tukamalizana hapo hapo
 
Hawa ni watoto wa shule ya Marys ingawa sijajua ni ya Mkoa gani lakini kwa aslimia 100 ni Tanzania

> Ndugu Watanzania hasa wenye watoto wanaosoma zile shule za kuchukuliwa na School Bus hivi mmewahi kufuatilia usalama wa Watoto wenu au mko busy na mambo yenu?

> Mmmewahi kufuatilia matumizi ya ada zenu, je mnatendewa haki?

Ebu shuhudie hao Malaika walivyorundikwa kwenye hicho kipanya. Wamiliki wa Shule wabadilike

Haya ndiyo maeneno ambayo Wizara inatakiwa kutoa Mwongozo wakishirkiana na Polisi
 
We acha tu watoto wanajua chocho zote za dar anaishi masaki utashangaa mitaa yote anaijua kuanzia chanika kibaha mbweni bagamoyo. Kuna siku mtoto alichukuliwa saa 11 alfajiri badae nikaenda shule saa mbili nikakuta skuli basi lao halijafika
 
Fasta napiga chini, natafuta shule nyingine
 
Back
Top Bottom