Shule ya kununua inahitajika

Shule ya kununua inahitajika

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,502
Reaction score
372
Habari ndugu yangu anahitaji shule ya kununua iwe ya English medium nursery na primary iwe na eneo kubwa kuanzia ekari 3.

Shida yake anataka anunue shule ambayo tayari inafanya kazi eneo hiyo shule iwe katika wilaya ya Ilala.

Kama kuna mtu anaweza kusaidia shule ikapatikana haraka kuna pesa ya asante.

0786430793

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kama utamfaa namkaribisha, Kuna sehemu nzuri sana inauzwa mji umekuwa vizuri nyumba zimezunguka sehemu hiyo na sijaona mradi wowote kama anaolenga yeye maeneo hayo hivyo pangemfaa sana angeweza kukamata viunga vyote kama akifanikiwa kufungua mahali hapo ni chanika kabla hujafika chanika mwisho karibu na benk ya crdb kama akielewa nichek pm kwa maelezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo wilaya Ubungo..
afikirie fikirie
 
Back
Top Bottom