SHULE YA BOARDING

Lucas Mganda

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
254
Reaction score
182
sahaman ndg zanguni naomba kufahamishwa shule nzuri ya wasichana ya boarding yenye ada isiyozidi 1.4m
 
sahaman ndg zanguni naomba kufahamishwa shule nzuri ya wasichana ya boarding yenye ada isiyozidi 1.4m
Ongeza nyama mkuu kwenye andiko lako; Iwe Primary/ Secondary? Private/ Religious? Mkoa gani unapendelea? Mtoto ana umri gani? Anahamia au unataka aanze afresh/ Kidato/ Class gani?
 
Iwe shule ya private,Anahamia kidato cha kwanza shule ikiwa katika mikoa jirani na mbeya itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…