CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,968
- 9,546
Wakuu msaada wa shule nzuri ya Private kwa kombi ya PCB kwa mikoa ya Arusha na Kilimajaro, nina Dogo nataka aende huko and Div 2.
sema kwanza ada yako bei gani then ntakuambia shule!!!!
Nenda Feza mkuu!Wakuu msaada wa shule nzuri ya Private kwa kombi ya PCB kwa mikoa ya Arusha na Kilimajaro, nina Dogo nataka aende huko and Div 2.
St. Mary gollet only for girls mkuu!!!