Shule nzuri ya msingi (private) kwa Tabata

Shule nzuri ya msingi (private) kwa Tabata

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
4,556
Reaction score
3,844
Guys mambo zenu....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu... kwa mwenye kujua shule nzuri iliyopo Tabata Ukiondoa Tusiime nitashukuru akinipa uzoefu wake hapa. Ikiwa na unafuu wa Ada (chini ya 2ml per year) itakuwa poa sana

Hayo tu Wadau

BACK TANGANYIKA
 
Nilitaka kukua,bia Tusiime lakini naona ushaipiga chini... (sijajua kwanini)

Msaada wangu umeishia hapo
 
NENDA ROSALIA PRIMARY SCHOOL ENGLISH MEDIUM YAANI HATA KAMA MTOTO WAKO KICHWANI HAMNA KITU ATATOKA YUKO VIZURISANA NINA EXPERIENCE
 
Back
Top Bottom