Shule nzuri ya kurudia mtihani kidato cha nne - Iringa mjini ni ipi?

kipoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
325
169
Wadau msaada, naomba unijuze shule nzuri ya kurudia mtihani wa kidato cha nne kwa Iringa mjini.

Nataka kujua shule na si kituo
 
Achana na habari za kurudia kidato cha nne cha msingi nenda veta kuna kozi inaitwa NABE1 utasoma hiyo ukifaulu unapata kigezo cha kusoma chuo chochote ngazi ya cheti...kuliko kurudia mtihani
 
hiyo NABE 1 ni inahusu nn
ni kozi kwa watu walifika sekondari wakakosa vigezo vya kusoma masomo ya vyuo...vyuo vingi vinahitaji ufaulu wa kuanzia d 4 hivyo mtu aliepata 0 hadi d 3 anakuwa hana vigezo vya kusoma chuo ngazi ya cheti. Ukisom NABE1 unakuwa ni sawa na umerudia mtihani wa kidato cha nne unapata cheti lakini si cheti cha kidato cha nne ni cheti cha Nabe
 
hiko cheti limitation zake ni katika kozi Gani?
 
Back
Top Bottom