jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,022
Shukrani mkuu,kama kuna nyingine itapendeza zaidi,ili kuweza kufanya ulinganifu.Fika MontFort - Lumo
Shukrani mkuu,kama kuna nyingine itapendeza zaidi,ili kuweza kufanya ulinganifu.
Kwa hayo maeneo uliyopo hakuna shule nzuri zaidi ya Montfort. Japo zipo nyinginezo kama St. Moses n.k
Hii st Moses iko maeneo gani mkuu?Kwa hayo maeneo uliyopo hakuna shule nzuri zaidi ya Montfort. Japo zipo nyinginezo kama St. Moses n.k
Mkuu vipi kwa ubora wa elimu ya hawa Brain Trust?Si kweli usemayo, kwa buza jaribu pia zipo SACRED HEART ni ya Masista ni nzuri sana ipo Buza na pia ipo BRAIN TRUST nayo si mbaya
Sacred Heart mkuu, wako vizurHabari wanajamvi,rejea kichwa cha habari hapo juu.
Nimehamia maeneo ya Yombo buza ,hivyo nawatafutia watoto shule nzuri ya private ambayo ni English medium maeneo ya Buza na maeneo jirani.
Naomba wenye uzoefu na maeneo tajwa hapo juu,tupeane taarifa tafadhali.
Wasalaam.
Nimeshachukua form hapa mkuu.Sacred Heart mkuu, wako vizur
Mpeleke Luis Montfort au Good ShepherdHabari wanajamvi,rejea kichwa cha habari hapo juu.
Nimehamia maeneo ya Yombo buza ,hivyo nawatafutia watoto shule nzuri ya private ambayo ni English medium maeneo ya Buza na maeneo jirani.
Naomba wenye uzoefu na maeneo tajwa hapo juu,tupeane taarifa tafadhali.
Wasalaam.
Ina nini mkuu?na hii Good Shephered iko maeneo gani hapo buza?Mpeleke Luis Montfort au Good Shepherd
Usithubutu kumpeleka Brain Trust
Narudia tena usithubutu kumpeleka Brain Trust
Ni shule mbovu mbovu mbovu kupindukia
Hiyo Brain Trust ni shule ya Anna Makinda naifahamu fika ni shule mbaya sana hiyo
Ilikuwa kidogo nzuri miaka ya 2008,kurudi nyuma.
Nahisi itakuwa karibu na mitaa ya Abiola au kwa mama kibongeIna nini mkuu?na hii Good Shephered iko maeneo gani hapo buza?
Shukrani mkuu ngoja niitafute hii.Nahisi itakuwa karibu na mitaa ya Abiola au kwa mama kibonge
Ila hiyo Luis Montfort ipo mwisho wa lami Lumo.
Montfort ni best kuliko zote kwa hapoShukrani mkuu ngoja niitafute hii.
Hapa napo nilienda,ila darasani wanafunzi wapo wanafunzi wako wengi sana,na pia hawana school bus,nitashindwa kuwa nampeleka na kumrudisha sababu ya kazi mkuu.Montfort ni best kuliko zote kwa hapo
Safi mkuu, hutajutaNimeshachukua form hapa mkuu.
Wako very serious,na wanasema akifeli interview hatapokelewa.Safi mkuu, hutajuta
Brain trust hamna kitu mkuu, ingia hata mtandaoni uangalie matikeo yao ndo utajua kama hamna shule hapoMkuu vipi kwa ubora wa elimu ya hawa Brain Trust?
Ni kweli mkuu,nimekwenda leo kuwatembelea,dahh shule ya hovyo sijapata kuona mkuu!!!Brain trust hamna kitu mkuu, ingia hata mtandaoni uangalie matikeo yao ndo utajua kama hamna shule hapo
Wahuni tu mkuu, pumba kabisa hamna hata kitu hiyo shule, angalia matokeo, www.necta.go.tz ya mwaka 2016 utaona maziro hayana ata mwenyewe.Ni kweli mkuu,nimekwenda leo kuwatembelea,dahh shule ya hovyo sijapata kuona mkuu!!!