Natafta shule nzuri ya kumhamishia kijana wangu.
Dogo anategemea kuingia form 3 mwakani
Kwa sasa anasoma Trust St. Patrick School ina kama maendeleo yake hayaridhishi..
Shule nadhani ndio haijajipanga, namtaftia shule nyingine.
Je ni ipi shule nzuri naweza kumpeleka.