Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
simaanishi masomo ya darasani..namaanisha safari yake hadi kuimallizaUnaposema "shule ngumu" unamaanisha masomo magumu au unamaanisha maisha ndiyo magumu?
duh yaani chekechea ulianza 1991?[/QUOTE
ndio..ila usiulize nilianza na miaka mingapi tu 😀
simaanishi masomo ya darasani..namaanisha safari yake hadi kuimalliza
jaribu kukaa nyumbani kidogo!
shule za government..minaki- o-level then tanga a-levelShule gani ulisoma?? naona kuna mengine hapa hujaweka
japo unaiona shule ngumu, najua hesabu za kujumlisha unaziweza.
piga hesabu, tangu chekechea mpaka utakapokuwa umemaliza chuo utakuwa na umri wa miaka mingapi. Kwa hesabu zangu za haraka utakuwa na miaka chini ya 25.
chukulia kuwa utaishi miaka zaidi ya 70. that means ukifanya upumbavu na shule sasa, you will have burried in hell your next over 45 years. Ask those who messed with school, wanatamani wawe na umri kama wako, warudi shule.
Veritas Vos Liberos Faciet - The truth Shall set you Free.
humu ndani tuna watoto kumbe?jamani GT member hivi shule ni ngumu kwangu tu au hata nyinyi mnaondelea na mliomaliza ??
nilianza chekechea mwaka 1991...nikaendaaa darasa la saba nikaliua mwaka 1999..nikajiunga na form one boarding. sasa huku ndio nilikutana na mambo kwanza kuwaoshea vyombo form two (i mean form 2 hadi six.nadhani mliosoma boarding mnanipata haswa ila tukio ambayo sitayasahau ni siku ambayo niliwekewa kiatu kinachonuka mdomoni nikaambiwa nipige simu nyumbani huyu jamaa siwezi kumsahau.ila haya yote yalipita nikaingia form six boarding hapa maisha yalikuwa mazuri.story za chuo kikuu zikawa zinanipa hamasa ya kusoma nikajua kuwa maisha huko yatakuwa kama kumsukuma mlevi vile.nikafanikiwa kujiunga hehe .mambo si mambo tena .........................hadi kivuli kinakabwa huku. halafu kitu kingine watu wanajua ushatoka.sijui mambo gani mlikutana nayo wenzangu ktk hii safari...
acha kuniogopesha man..it means kila cku bora ya jana? i think not truekama unadhani maisha ya shule ni magumu, you have not seen anything yet...huku "duniani" ukija kwenye kwenye kazi, serious relationships, familia, jamii nk nk ndio utaelewa ugumu wa maisha ni nini...kaza buti ndugu yangu, safari ndio kwaaanza inaanza...
simaanishi masomo ya darasani..namaanisha safari yake hadi kuimalliza
acha kuniogopesha man..it means kila cku bora ya jana? i think not true