Mbona mambo ya msingi hasa uwepo wa walimu wenye viwango na wanaojituma, uwepo wa vitu kama maabara zenye vifaa na wataalamu, nk hujagusia kabisa katika kutangaza shule yako. Umeegemea sana kwenye hela.
Nimeangalia matokeo ya form six 2012 kwenye mtandao hayajanivutia sana hasa ukizingatia wanafunzi walikuwa 16 tu, na wote ni wa masomo ya art ambayo vijana wengi wanafaulu vizuri sana, lakini sijaona division one hata moja. Lakini hongeren maana hakuna division zero. Jipangeni vizuri kijana wangu nategemea nitamleta hapo siku chache zijazo.
hii shule iko Kalobe, ni shule ya umoja wa wazazi wa CCM.
Kiwango chake cha ufaulu ni duni sana, haina maabara wala maktaba.
Hii shule ni sawa na chuma chakavu
hii shule iko Kalobe, ni shule ya umoja wa wazazi wa CCM.
Kiwango chake cha ufaulu ni duni sana, haina maabara wala maktaba.
Hii shule ni sawa na chuma chakavu
Jamaa kasema mbeya mjini, mkuu umemmaliza, Duu
nakuunga mkono mkuu kwa hilo hawa jamaa ni pangu pakavu tia mchuzi twende,between 2000/2004 lilikuwa ndio zoa zoa la waliochujwa mashule mengine kama mbalizi sangu na nyinginezo. Sio shule ni sanaa tu!
Shule inamilikiwa na nani?
Location sahihi, ni wapi ukiwa barabara kuu ya Tunduma, distance?
Nia ni kuzidi kuifahamu tu
Hii ndo shule ya mulogo??Wadau wa elimu, napigia debe shule moja ya sekondari iliyopo Mbeya jijini. ITENDE SEC. SCHOOL
- Ni shule ya wasichana na wavulana
- Ni ya kutwa na hosteli ndani ya shule
- Imeanzishwa tangu 1992
- Ina O & A levels
- O level-masomo ya ARTS & SAYANSI
- A level-michepuo HGL, HKL, HGK & HGE
- A level ilianza 2009 na inafanya vema ( 2012 ya 5 kimkoa, 40 kitaifa)
- ADA kutwa ni sh 400,000 (inalipwa kwa awamu mbili 250,000/150,000)
- ADA ya kutwa pamoja na HOSTELI ni sh 900,000 ( inalipwa 500,000/400,000)
- NAFASI za kuhamia januari 2013 zipo; kidato cha 1, 2, 3, 4, 5 & 6
- KUANZIA JANUARI 15, HADI APRIL 30 2013 KUTAKUWA NA MASOMO YA PRE-FORM 5 KWA ADA YA SH. 80,000 KWA KIPINDI CHOTE na WATAKAO TAKA HOSTELI WATALIPA 180,000 KWA KIPINDI CHOTE.
- WATAKAO SOMA PRE-FORM 5 na ikatokea wakaendelea na FORM 5 HAPA SHULE WATAPEWA PUNGUZO LA ADA ( 350,000 SH badala ya 400,000 sh).
- shule ipo mazingira tulivu ya kujisomea, pia nje kidogo ya pilikapilika za jijini.
Mawasiliano; kihegam@gmail.com utende2011@yahoo.com; 0652-656565, 0756-629094
Si kweli kaka, njoo utembelee uone hicho chuma chakavu, usiwachanganye watu, sio vizuri. Shule ipo Itende si Kalobe, na tena zingatia kuwa si kila mtoto na mzazi ataweza peleka mtoto shule unazo fikiri wewe!! HII ni shule nzuri sana; mandhari na miundombinu; library na laboratory zipo!! matokeo kwamba ni duni yawezekana hasa kama watoto wanaokuja na kupokelewa hapa wengiwao ni total failures std 7, Lakini wakija hapa wanatoka na kitu atleast. Na wanaokuja vizuri ndo hao wanapeta, hata walio kwenda serikalini wengine wanakuja hapa!
IPILIMO said:mafunzo ya kompyuta yapo, kwamchango wa elfu 30 tu kwa kozi ya program 4; introduction to computer, MS WORD, EXCEL & INTERNET AND EMAIL. (akifaulu hupatiwa cheti).
nani kahadaa?? mie nilikuwa natoa past experince with that school kwanini hamkuwa mnachukua freshers kama wengine na pia hata ilikuwa ukiangalia performance zao wanafunzi by then was more than below compared to the mentioned schools. Anyways may be with time things have changed. But it seems kama umehamaki vile mkuu.Aisee jamaa kawahadaa sana, Acheni kuwaharibia watu, kama hamuamini why not take your time to visit the school! vipi kuhusu wanafunzi wanaofaulu kupitia hapo, NA je nyinyi mnaelewa private school management and administration? If it is a community/parent school mnajua vision yake? Je mnataka walio chujwa au wasio chaguliwa shule zingine WAACHWE mtaani? basi kila shule ingekuwa ni mbalizi/meta/sangu/mbeya day ambako PIA KUNA div. 0,4,3,2,1. Uelewa na kiwango cha akili kinatofautiana baina ya mtoto na mtoto. OK mpeleke mwanao/mdogo wako/ndugu yako aende shule hizo KISHA achujwe kisha mlete hapa itende, sisi tutampokea coz tuna amini ataweza, na yeye akikubali kweli ataweza!!
nani kahadaa?? mie nilikuwa natoa past experince with that school kwanini hamkuwa mnachukua freshers kama wengine na pia hata ilikuwa ukiangalia performance zao wanafunzi by then was more than below compared to the mentioned schools. Anyways may be with time things have changed. But it seems kama umehamaki vile mkuu.
10% bwana LOL !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Usitetee, shule tunawapeleka watoto wakajifunze na kufaulu vizuri, hatuleti watoto shule ili wakue na mwisho wa siku eti "at least watoke na kitu".
Kwanini mnachukua mazuzu magic, je hamjioni kwamba mnakula hela za watu bure?