totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,404
Ha ha ha hao Marais wakati wanasoma hizo shule hazikuwepo. Hata mimi wakati nasoma hizi English medium hazikuwepo ilikuwepo IST tu. Shule Bora zilikuwa za serikali,private zilikuwa Kwa ajili ya waliofeli.
Ha ha ha hao Marais wakati wanasoma hizo shule hazikuwepo. Hata mimi wakati nasoma hizi English medium hazikuwepo ilikuwepo IST tu. Shule Bora zilikuwa za serikali,private zilikuwa Kwa ajili ya waliofeli.
Wanawapeleka kwenye shule bora money can pay! Huwezi kuwa bilionea ukamsomesha mtoto shule za ajabu ajabu. Hela za nini sasa kama sio kukupatia wewe na familia yako maisha bora? Maisha bora ni pamoja na elimu bora. Wahindi tunasema wanawafundisha watoto biashara tangu utotoni, unajua wanawasomesha shule gani? Best schools.Ni Sawa nakubaliana na wewe hazikuwa lakini maisha yana Siri kubwa sana mkuu!!! Mungu niwaajabu sana sometimes.... Matajiri hata izi shule hawajasoma lakini ndo wanawapeleka watoto huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusom nikuondoa ujinga tu kichwani lakini kama unataka mtoto awe na Mali mfundishe kutafuta pesa tangu mdogo asikae kae om kama una biashara nenda nae ajifunze huko!!!! Na ako kaelimu kake atakakopata maisha hayawezi kumshinda
Duh mkuu....tangu uzaliwe wazazi wako wametumia gharama kiasi gani hadi ulipofika? Unairudisha vipi? Kusomesha wanao ni wajibu wako bila kutegemea urudishe faida.Sometimes hawa watoto inaweza kuwa wastage morning investment..... ni bora nikipe ada y kawaida niwekeze kwa faida yao, na iyo milioni 70 anakuja kuirudisha vipi?
Ukifika huo wakati hutakuwa na mawazo haya. Na kuna uwezekano mambo ya ada na vitu kama hivyo wala utakuwa huangaiki navyo,kuna watu watafanya hio kazi.
Duh mkuu....tangu uzaliwe wazazi wako wametumia gharama kiasi gani hadi ulipofika? Unairudisha vipi? Kusomesha wanao ni wajibu wako bila kutegemea urudishe faida.
Kweli hapo ni connection tosha ila mpaka mzazi kufikia hatua ya kumpeleka mtoto basi mtoto na familia husika inajiweza haitegemei connection tu.Kama pesa inaruhusu peleka watoto shule hizi itawasaidia mbeleni kutengeneza connection ya watoto wa matajiri wanasiasa na wenye maamuzi katika nchi hii itawasaidia kupata michongo ya life mbeleni.
Ni nadra Sana kwa classmate kutupata ni kama undugu tayari mkikumbukia ujana mfano disco,vibuti,vibomu,nk.
Yaani watu wanamipunga Sijui Bill Lugano anasomesha watoto wangapi haponikiwa advance kuna sehemu nilikua nafanya part time job sasa boss wa pale mama mmoja hivi mzuriii alikua na watoto wake wawili na wote walikua wanasoma IST imagine, kuna kipindi nakumbuka alikua anaumwa jino akaenda zake Cape Town kutibiwa.. watu wana hela jamani..
Wakati wengine tukiambiwa watoto wanaenda study tour wilaya ya jirani kwa gharama ya shilingi 20k ya kitanzania kwenda rudi tunafel kuaffordHapo bado tours za safu ya milima ya himalaya,na fukwe za maldives kuangalia waves features mbalimbali za fukwe,Gharama za kwenda hiroshima na nagasaki kushuhudia madhara ya Nuclear.Hawajaenda bdo siberia na ontario Canada ambako watapitia Arizona kuangalia baadhi ya vitu vya kijiografia na mwisho waende Amazoni kujifunza mambo mbali mbali ya kijamii na hasa kujifunza namna ambavyo msitu wa amazoni unavyobeba uhai wa viumbe duniani,halafu watatulia copa cabana kwenye tamasha la kimataifa kwa wanafunzi wenzao kutakuwa na mashindano mbali mbali katika viwanja vya maracana katikati ya jiji la rio de Janeiro Mzazi atachanga $40k...Hela hela,pesaaaa
Huna hela wewe wenzako wanazo .....
Hela ya maji na mlinzi [emoji38][emoji38]Baada ya kumaliza kusoma nikakumbuka nilisoma kwa ada ya 10k kwa mwaka nimeangua kicheko nusu kufa
Wewe ni muelewa, hayo ndiyo matumizi ya pesa, wenye nazo, walishanunua majumba, magari, mashamba, matrekta, mahotel, wapo wazazi diplomats, investors, pesa siyo ya mawazo, wanalipwa na kulipwa,Ndio matumizi ya pesa
Kwa sasa elimu ni ubishoo tu, na ndo mana utawaona ni matajiri, mtu wa kawaida wapo wanao weza na wana mishahara ya million 7 au 8 lakini wametoka familia masikini tu, milioni 71 per year nikiiweka Kwa akili ya huyo mtoto kiuwekezaji, na Kisha akasoma elimu ya kawaida, bado anaweza kifika mbali kielimu na akamaliza akiwa na mali pia ambayo wewe kama mzazi umeitengeneza, na inawezekana kabisa wale wenzie wa ada ya million 71 wakaja kuajiriwa naye
Msitujengee ujinga vichwani ilihali uhalisia tunaujua
Shule Bora zilikuwa za serikali,private zilikuwa Kwa ajili ya waliofeli.
๐๐๐๐Hivi mtoto anayesoma hizi shule anaweza kuja kufanya kazi ya utendaji huku kwetu Nanjilinji...?