Shule kumi ghali Tanzania

SINA SWALI. Mtoto kazi kwake akija kuwa mlalamishi atakuwa kajitakia.
Ila math sio extra curricular bali ni mainstream curriculum.
Mtaala tarajiwa wa serikali usipocheza humo itakuwa wametumia pesa za serikali vibaya.

hawatumii mtaala wa serikali, they learn math darasani but kama kuna mtoto anataka more math, anapewa watoto wengi husoma chuo nje na wengi ndoto zao ni Ivy League baada ya DP
 
Kimlipa mwalimu mil 6 ambae ni bora ndio ubora. Kula chakula balanced diet ndio ubora. Ni sahihi kulipa hizo hela pengine nj nfogo.
Niligogo ubso mmoja wa smart board una range mpaka milioni 20 ambao ni nchi 40. Shilr bora inahitaji smartboard kama hizo ngapi
Elimu ni gharama sana na ukitaka kujua hilo angalia vyio vya nje zina fika dola 100.000. Ina maana bila nfadholi husomi chuo kama hicho kwa sisi walala hoi .
Kuwepo shule 10 tu jama hizo ina maana bado tupo nyuma na hata wenye hela TZ bado hawaoni kipaumbele kulipa ada kubwa wanaona bora wapekeke kwenye private za milioni 2 ambazo ni kama kayumba za english ambazo hazina extra curricula.
 
NIMEPITIA HUU UZI WOTE MAFOGO WA JF SIJAWAONA, AU HUKU NI KINA KIREFU KWAO
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Daaaa kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anasomesha watoto wake 4 wote kwenye shule number 2 hapo.Ila maisha anayopitia sasahivi ni huruma.Na yule mtoto mkubwa yupo tu ameshindwa kumpeleka hata chuo Nairobi(Mana malengo ilikuwa S.A au Europe)
 
Na Kuna watoto wanasoma humo, nasemaje mkisema Mimi maskini sawa, cha muhimu afya. Na kufanya kazi kwani kitu Gani bwana ๐Ÿ˜ข
 

Naona Unaenda Kumsomesha Mtoto wako shule ya 71M
Say Amen
 
Hii inakusaidia nini, ndiyo maana mnakufa maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ