cha ukweli
Member
- Aug 18, 2014
- 67
- 5
Habari zenu wakuu! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu shule ya advance level ambayo ada yake ni bei nafuu naomba anijulishe... Iwe ya mchanganyiko au hata ya boyz tu.
Naomba anijulishe na ada yake ni kiasi gani!
Ahsanteni sana wakuu!
Naomba anijulishe na ada yake ni kiasi gani!
Ahsanteni sana wakuu!