Shule inayofundisha Kijerumani/Kifaransa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule inayofundisha Kijerumani/Kifaransa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Masanilo, Jul 12, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani ninatafuta shule inayofundisha Kijerumani ama Kifaransa kwa ajili ya mtoto wangu. Shule nyingi za Academy ni Kiingereza na Kiswahili. Nimeambiwa kuna shule za mikondo ya lugha hizo Kenya. Siko tayari kupeleka mtoto wangu kwa Mungiki. Kama unajua shule zenye lugha moja wapo wa hizo tafadhali niko serious niPM. Amemaliza shule za awali na kiingereza kimetosha nataka awe na background ya lugha zaidi.

  Mch Masa
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda pale jollies club pale aga khan..kuna chuo kinaitwa alliance franchaise sidhani kama nimepatia spelling zake vizuri..
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Thanks! Nataka shule hizi za madarasa ya chini Darasa la 1-2 zinajengha misingi mizuri ya lugha.
   
 4. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We Mchaga nini? Mbona unapenda sifa! Huyo mtoto anajua lugha ya kabila lake kabla hajaenda kusoma hayo malugha ya wezi wa mali za Waafrika? Jipange upya.
   
 5. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nilivyoona hii thread nikaikimbilia nikidhani ni binti mkubwa ana miaka >= 18, lakini kwa vile ni mtoto basi.
  Kwa ufupi mimi ni mwalimu wa kifaransa na kiitaliano, ila kama utapenda akivunja #@!%$, npm nitamfundisha
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,597
  Trophy Points: 280
  ficha upumbavu wako usifiche hekima yako-
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa nakuchukulia tofauti! Nina declare wewe ni Mpumbavu. Mchungaji yuko serious unaleta us.engĀ£ hapa.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hakuna cha sifa wala uchaga...
   
 9. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  nimeipenda hiyo co robot...
   
 10. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  lugha za matusi haziruhusiwi jamvini kwa hiyo kuwa makini
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unaweza onyesha tusi?
   
Loading...