Shule inayofundisha Kifaransa Jijini Mwanza

Shule inayofundisha Kifaransa Jijini Mwanza

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
485
Reaction score
67
habari wana jamvi,
kwa ambaye anajua shule zifundishazo french jiji la mwanza naomba anijuze , p'se

Asante.
 
acha kuogopa kifaransa dogo, saut wasikutishe, ukikomaa utaelewa tu,
 
Ndiyooo, jamani ,,,anajua anisaidie kuna dogo nataka nimuhamishie hapa jjini mwanza , alipokuwa walikuwa wanasoma French,,,,,,,,mwakani nataka ahamie form three........please any know this.
 
Back
Top Bottom