Shule gani ya serikali nzuri ya bweni kwa o-level ?

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Naombeni mnisaidie shule nzuri ya boarding (serikali) kwa olevel ili niweze kumpeleka kijana wangu. Aje alisaidie taifa. Mm ni maskini siwezi kumlipia private. Asante kwa jibu zuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumaini unaendlea vizuri.
Naomba nikudokeze kitu, viwango vya elimu kwa shule nyingi za serikali kama si vinakaribiana basi viko sawa. Hata huko private hata wafundishe mpaka usiku wa manane bado mwanafunzi mwenyewe anatakiwa kusimama mwenyewe siku ya mwisho.

wakati mwingine shule huwa haiamui matokeo ya mwanafunzi bali inampa mwanga wa kujua nini cha kufanya.

Kama amechagulia shule ya serikali iwe day au bording mwandalie mazingira ya masomo ya ziada.

Pia wataalamu walisema " in education there is no zero"
Ondoa woga hata chini ya mti division 1 ipo

Mkuu nakukubalia sana, kuna watoto wanaishi mazingira magum sana ila niliwafundisha hesabu na kingereza darasa la Saba kwa kutumia mda wangu mwingi mpaka wakaenda vpaji na wanafunzi kama Saba. Sasahv wapo kidato cha sita na wote masomo ya sayansi.

Kwahiyo ni ww utamuandalia mazingira gani kuhakikisha anafaulu kamwe usiige masuala ya elim ni kitu kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakukubalia sana, kuna watoto wanaishi mazingira magum sana ila niliwafundisha hesabu na kingereza darasa la Saba kwa kutumia mda wangu mwingi mpaka wakaenda vpaji na wanafunzi kama Saba. Sasahv wapo kidato cha sita na wote masomo ya sayansi. Kwahyo ni ww utamuandalia mazingira gani kuhakikisha anafaulu kamwe usiige masuala ya elim ni kitu kingne

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ni utayari wa mtu.
Hongera sana kwa kusaidia kizazi cha badae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule zote za serikali za boarding ni nzuri.
Ila jitihada za mwanafunzi na kujitambua tu.

Maana shule zote za serikali hazijatofautina mkuu.
 
Mada tajwa hapo juu inajieleza. Naombeni mnisaidie shule nzuri ya boarding (serikali) kwa olevel ili niweze kumpeleka kijana wangu. Aje alisaidie taifa. Mm ni maskini siwezi kumlipia private. Asante kwa jibu zuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuache Maelezo mengine wanayotoa wadau hapa kwa kukusaidia lengo lako ebu sema unahitaji za mkoa gani?

Nikutajie
Maana nahisi wanachomaanisha wadau wengine ikawa tofauti na wazo lako la kutaka mwanao haende shule ya bweni

Maana kwa upande wangu ninavyojua shule za bweni zina mazingira mazuri ya MTU kujisomea,kama kuna MTU kapitia day na bweni kwa O level na A level,kama alionja ladha ya day na bweni basi atanielewa ninachomaanisha

Tuache ishu ya ufundishaji ni ileile ila mazingira yako pia sana na ndio maana performance ya day na bweni kwenye matokeo ni kubwa so kwamba wanafundishwa sana Bali mazingira ya kujisomea ni mazuri

Kule kuna mpaka prepal ya lazima,ukikutwa umelala bweni unachezea stiki,bweni watu wanasoma kwa ushindani,huwezi uchapa usingizi wakati room mate wako Yuko class anatoboa

Kwa hiyo wadau msije na ushauri wa upande mmoja tu kwamba elimu IPO ata chini ya miti

Mwacheni jamaa ampeleke kijana wake ana kitu anakitafuta
Mimi nilisoma o level day tena kongwe na nikaenda A level bweni ambayo pia ni kongwe nikagundua kuna tofauti kubwa sana ya mazingirabya kujisomea toka hapo huwa wadogo zangu nawatoa kata nawapeleka bweni so kufuata walimu Bali mazingira ya yeye kula msuli

Wapo wawili niliwapeleka ifunda technical na mwingine songea boys
 
Mtu anayejiita maskini huwa hana akili pia

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

Kibaha ,Ilboru, Mzumbe ,Tabora boys sio shule nzuri ila kufaulu uhakika

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom