Shule bora ya kidato cha kwanza ni ipi? Na yenye gharama nafuu

waraha135

Member
May 10, 2019
11
2
Habari wana jamii nauliza ni shule ipi bora na nzuri kwa mtoto wa kike aliemaliza darasa la saba?

Ambayo ina ufaulu mzuri na yenye gharama nafuu na ni ya bweni?

Msaada kwa anaejua.
 
Uko mkoa gani!? Au unataka mwanao akasome mkoa gani!?

Be specific.

Shule zipo nyingi. Sasa sijui hiyo gharama nafuu wewe ianzie shilingi ngapi?
 
Huo mzani kuubalansi huwa ni kazi sana mkuu, shule nzuri alafu gharama nafuu! Hapa utajikuta unatakiwa kuchagua kimoja mkuu wangu
Kabisa mkuu ubora unaendana na gharama

" value for money"

Nadhani alitakiwa kuandika shule yenye ubora with reasonable fees
 
Back
Top Bottom