Taylor king
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 102
- 128
Ni kweli haukua sahihi mkuu!Kweli tunakuwa wajinga some time, nilivyokosa point za degree nilifikiria ujinga mwingi balaa!
I was wrong!
word..Waulize wote waliofanikiwa LEO Nini kiliwapata wakati WANAANZA walichofanikiwa LEO.
Kama Unafahamu Kuhusu GO-PRO CAMERAS zinazotumika Ulimwengu mzima utajua jinsi gani NICK WOODMAN alihangaika, ALIFELI MARA 2 na kupoteza Billion 8 za watu walioinvest lakini Leo kila kitu ni HISTORIA.
Kama unajua kuna iPhone na Bidhaa za Apple unajua STEVE JOBS alifeli MARA 2 akiwa na kampuni za Apple ( ALIYOIUNDA LAKINI AKAFUKUZWA KWA KUDESIGN BAD PRODUCTS CALLED "LISA" & NEXT na leo kila kitu ni HISTORIA.
Sir Richard Branson baada ya kufeli kwenye BIASHARA ya Magazine, vodka, soft drinks, Magari na Digital HAKUCHOKA. . . Leo Unapozungumzia VIRGIN GROUP Unamzungumzia MTU ALIYEFELI ZAMANI anayemiliki KAMPUNI 400.
Pia Ana Mabenki, kampuni za simu, Magari ya kusafirisha Mizigo, Studio za Kurekodi na kuuza Muziki, Maduka ya Vito vya thamani, Media House ya kutengeneza Movies, Hospitali, Radio & Televisheni, Ana Projects za kwenda Anga za Juu, Shopping Malls, Kampuni za Ndege na Ameajiri wafanyakazi 71,000.
WHAT IS YOUR EXCUSE? ? ?
Umefeli KADUDE KAMOJA hakafiki ata Million 5 au UMEFELI MTIHANI au INTERVIEW Unaanza kusema MUNGU ALIANDIKA NIFE MASKINI? ? ? Come on Nigga. . . You must FAIL to become who your Destined to Become.
d..
KUFELI NI MREJESHO (Feedback ) ya kazi Uliyoifanya ili Uifanye Tena vizuri. KUFELI SIO BARUA YA KUFUZWA KAZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Turning Point ya maisha yangu ilianza pale nilivyofeli form four... Ilikua kitu cha maana sana kwenye maisha yangu japo sikujua kipindi hichoWaulize wote waliofanikiwa LEO Nini kiliwapata wakati WANAANZA walichofanikiwa LEO.