Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,408
- 10,138
Mjinga sana huyo Kijana alikuwa Diwani zamani , binafsi nishazinguana naye alitaka kuniletea ujinga kwenye eneo langu nikamchechia mbaya mapaka leo akimuona anisalimii na mimi sina Mpango nayeMwenyewe nimeshangaa. Hapo namuona huyo kijana ndio hajielewi..anatumia nguvu kuliko akili.sasa anavyomfunga na kamba halafu ampeleke polisi,sasa kwa akili yake ndogo polisi watamfunga kawambwa kweli? Ni polisi mjinga atakayefanya hivyo