Shukrani.......

Ucijal mama tupo pamoja {Nilipo songwa na vitisho sikukata tamaa nilijua ninae Baba wa uzima wa roho}
 
Reactions: ram
Wewe unataka kututafutia kesi sasa, nani anaweza kula ningu au nembe, wakinigwa na mifupa je, nani atajibu hiyo kesi, Hao saizi yao ni zato na sangara tu hizo zingine watuachie wenyeji


ha ah!! barikiwa sana mpendwa, alf mjiandae na wale samaki ningu na nembe wengi hawazijui.
 
Kila jambo lina majira yake
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu
Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka
Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa
Yote haya yafanyika ili kudhihirisha uwepo wa MUNGU.
Basi tuyapokee kwa unyenyekevu ili tusije kukufuru na kujifananisha nawasioamini.
 
Reactions: ram
 

Pamoja mkuu, one love
 
Last edited by a moderator:
Jina la BWANA YESU KRISTO libarikiwe! Endelea kumtumainia yeye wakati wote1 Hongera kwa kuwa na roho ya kushukuru hata kwa madogo!
 
Reactions: ram
Pole sana mpendwa ram na hakika na haya pia yatapita. Mungu azidi kukutia nguvu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Pole ssna ram kila kitu kitakuwa sawa
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Pole sana ram ingawa sikuwepo . Jambo moja tu linalotupa faraja ni kwamba tutawaona tena wapendwa wetu , tukaze buti ktk kuutafuta uso wa Bwana na kuyafanya mapenzi yake .
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ram
Last edited by a moderator:

Tuko pamoja sana mamie.... Mwenyezi Mungu aendelee kuwafariji!
 
Reactions: ram
Pole sana dada yangu. Nlikua sijui chochote. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…