shukrani

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Jamani napenda kuwashukuru sana tena sana wale woooooooooooooote tuliokutana fraideiiiiiiiiiiii,ilikuwa pouwa kufahamiana na kubadilishana mawazo mazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,yale malengo plz tuyatimize si mnakumbuka ziz wiki kukutana kwenye kujiwe chetu kupya?sasa je kuna yoyote alie mkontact Mwanakijiji ili tujue tunakabizi vipi mchango wetu?ntakula hela mm shauri zenu
 

He! Wewe,,,Pearl hapa tunapinga ufisadi chonde chonde na visenti vyetu
 
hahaha pearl unanikumbusha rafiki yangu mmoja yaani hata umkabidhi hela ya rambirambi utajuuuta ..
 
usijali will neva do so unataka nile then mafuriko yaamie hme kwangu?mambo mengine laana
He! Wewe,,,Pearl hapa tunapinga ufisadi chonde chonde na visenti vyetu
 
naogopa mwaya hela za watu hujui wamezitoa wapi zisije kunitoa roho bureeeeeeeeeeee
hahaha pearl unanikumbusha rafiki yangu mmoja yaani hata umkabidhi hela ya rambirambi utajuuuta ..
 
Duh kumbe kulikuwa na get 2gether ya uchoyo uchoyo mbona hatukutaarifiana wadau?
 
MBONA pledge yangu hujaifuata?ai miin mbona pledge yangu hajaicollect?
 
mmh acha urongo,ulielekezwa vby kivipi?

Ulinambia nikifika salenda sijui niakate kulia afu kulia tena afu kulia. Dah! Nilipoibukia ni siri yangu, lakini at least palikuwa na kaunta ina vinywaji baridi. Tatizo ulisusa kunipa namba zako za simu. Nikalazimika kuchangia SBL wakati nyie mnachangia waathirika. LOL!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…