Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Mi nimeogopa Bishanga aliposema shuleni kwa Dena twende bila nguo.
Uporoto unaogopa nini hapo! we tia timu na mimi nalitaka hilo darasa! Invite me pls!
Mi nimeogopa Bishanga aliposema shuleni kwa Dena twende bila nguo.
Hivi ulikuwa hujagundua kama nimezigawa kwa kwenda mbele??
Mi nimeogopa Bishanga aliposema shuleni kwa Dena twende bila nguo.
Si mimi mpenzi ni Bishanga hebu rudi nyuma usome.Bila nguo hapo umesema uongo kiongozi
Umeona hapo chini dear??
Haya hongera DA
Maria Roza mama upo kweli mbona siku hizi kasi yako kwa wakubwa imepungua tatizo nini?
Na mimi nataka hilo darasa
Maria Roza mama upo kweli mbona siku hizi kasi yako kwa wakubwa imepungua tatizo nini?
Dena Amsi,
Lishemeji langu la ukweli,Salaam!
Mara baada ya salam naomba nichukue fursa hii adimu kukushukuru mbele ya hadhara nzima ya JF kwa kunipa li tuisheni la nguvu,nimefaulu mtihani na ushahidi ni hapo juu kushoto.Wenye jicho la husda,mtimanyongo,roho ya korosho,kauzibe,bora tukose wote na wake zao,na waume zao,na shangazi zao,na wajomba zao,na jirani zao wasisubutu kuingilia ushemeji wetu na wakijaribu washindwe na kulegea.
Kwetu tunasema 'Mae kasinge'!
Shemeji yako wa ukweli,
Bishanga Abashaija.
Bishanga abashaija hongera kwa kutoa shukrani hasa kwa yule anayekuwa awekuelewesha au kukusaidia kwa jambo lolote. Ni wakati muafaka wa wewe kupractice kile ulichojifunza. Najua itakuwa ni jinsi ya kuweka avator. Nielekeze na mimi pia.
Sheikh Yahaya ha ha ha ha ha
Dena Amsi wewe ni wa ukweli. Angalia hapo juu kushoto. Tayari umesha maliza mambo. Shukrani sana. Wakola muno muno muno!!!
nilidhani haupo nizipokee kwa niaba yako................!
basi ngoja na mie nikupe hongra kwa kupewa shukrani za pekee.....................!