Shukrani za pekee kwa Dena Amsi

Shukrani za pekee kwa Dena Amsi

Nini kinaendelea hapa???? DA ( Ndo umeamua kumfanya hivi shemeji???Kua msiri basi mama!! )
Lizzy kinachoendelea hapa ni shukran kwa kwenda mbele,we mpige Dena sanks kisha anza!
 
Darasa na wewe wataka kusoma tuandikishe?? (Nakwambia mambo mengine ni aibu tupu nimemfundisha kitu fulani ndo kaamua kunichana live nilishituka wewe nikasema he nimefanya nini tena??)

Mhh darasa la nini maana maelezo hayajasimama kabisa!!! ( Hehehehhe....nxt time mwambie shukrani atoe taratibu sio mpaka kila mtu ajue bana!!!SHEM ATAPATA PRESHA BURE!! )
 
Mhh darasa la nini maana maelezo hayajasimama kabisa!!! ( Hehehehhe....nxt time mwambie shukrani atoe taratibu sio mpaka kila mtu ajue bana!!!SHEM ATAPATA PRESHA BURE!! )

We kubali kuwa mwanafunzi mengine utayajuwa huko shuleni hahaha!
 
denardoren laway,umekubalika ktk jamii big up dena wa ukweli!unafaham kuwa mm ni kakaako?
 
Alafu ndo unataka na mimi nijiunge???TALAKA HAINIITI MIE!!
Sikujuwa mwanzo kabla ya Bishanga kunitonya, niliposikia Dena ndio ticha nikajiandikisha haraka,although the thought of being naked in a room with Liz is apetizing lol!
 
Kumbe darasa lenyewe unabidi uwe uchi ? aka mi nlikuwa natania tu.
Acha woga Uporoto,kwani duniani uliingia umevaa? Kwanza shukuru na Lizzy anajiunga,na wengine watakuja tu maana tuishen yenyewe ni ya kimataifa ,ya Harvard haingii ndani!
 
Hata mimi ningependa kutoa
shukurani zangu sis .

Sante sana kwa kufungua moyo wako
makuanza kutoa thanks mwaka huu ..
 
Mhh darasa la nini maana maelezo hayajasimama kabisa!!! ( Hehehehhe....nxt time mwambie shukrani atoe taratibu sio mpaka kila mtu ajue bana!!!SHEM ATAPATA PRESHA BURE!! )

Ngoja nikutumie namba yako ya usajili NIMEKUSIKIA NIMEKUSOMA
 
Nimekosa nini mpaka Nimeingia choo cha EVA DU.
 
Back
Top Bottom