Joseph 44
Senior Member
- Nov 14, 2022
- 100
- 65
Poleni na majukumu wana JF
Uzi huu si wa kuomba msaada Bali ni wa kutoa shukrani za zati kwa wana jf kama mnakumbuka nilishawai kutoa uzi mbali mbali kuwauliza ni sehemu ipi naweza Pata ps4 ya kununua wengine walienda mbali wakasema kuwa nimekuwa nikiomba omba ushauri toka mwaka jana bila mafanikio lakini namshukuru Mungu ushauri wenu mlionipa umezaa matunda nimefanikiwa kuzipata ps4 na sasa napiga hela kama mbwa 🙏