Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Kwa heshima na taadhima,napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wanajamiiforums wote marafiki,wapwa na mabinamu kwa mema yote na support kubwa mliyonipa katika mchakato wote wa project yangu ya tar 13/02/2010.
pamoja na matatizo makubwa yaliyojitokeza vikiwemo chuki,magomvi na visilani wakati wote wa maandalizi na kuikamilisha project hii ninapenda kuwashukuru zaidi kwa mioyo yenu iliyojaa upendo mkubwa na uvumilivu wa aina yake.Ninaamini nimewakwaza wengi sana,na wengine wameapa kutokurudi jamiiforums...!mimi ni binadamu na si malaika.NAOMBA MNISAMEHE KWA HILO
Nitaomba nitoe shukrani ya pekee kwa zawadi mliyonipa ambayo imegharimu TZSH 744,000.00.AHSANTENI SANA KWA MOYO WENU WA UPENDO.Ukweli unabaki kuwa hiyo ndiyo ilikuwa zawadi pekee kubwa katika harusi yangu.AHSANTENI SANA ,NA TUNAWAPENDA SANA
Nitaomba nitoe shukrani ya pekee kwa michango mliyonitolea kufanikisha kila lililostahili kuipendezesha harusi yangu.jamiiforums imenichangia kiasi cha TSH 1,105,000.00.AHSANTENI SANA!familia ya MR & MRS geoff inawashukuru sana.kwakweli hatuna neno zuri kwa sasa litakalotumika kushukuru zaidi ya AHSANTE
Ninaomba bila kuwakwaza nipewe ruhusa na nitambue pia mchango wa mtu mmoja mmoja KWA KUWATAJA MAJINA.Majina haya hayazingatii kiwango cha mtu alichotoa,NI OUT OF MY FEELINGS
1Sinkala
2Fidel
3Kaizer
4CHrispin
5Nyamayao
6INVISIBLE(NA UONGOZI MZIMA WA JF)
7Next level
8Mwanajamii
9Nguli
10Askofu
11Preta
12Prisca
13Carmel
14Darkcity
15DeNovo
16Pakajimmy
17Triplets
18Firstlady1
19Ziondaughter
20Edson
21JS
22GP
23ALL JAMIIFORUMS MEMBERS
I LOVE YOU GUYS!.......
TUNATARAJIA KUTOA MWALIKO ILI MJE KUMLA MBUZI ATAKAYEOKWA KWA HICHI KIFAA MLICHOTUNUNULIA!...stay tuned na muandae matumbo tu
CHEERS!
MUNGU IBARIKI JF