SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
Kwa heshima na taadhima,napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wanajamiiforums wote marafiki,wapwa na mabinamu kwa mema yote na support kubwa mliyonipa katika mchakato wote wa project yangu ya tar 13/02/2010.

pamoja na matatizo makubwa yaliyojitokeza vikiwemo chuki,magomvi na visilani wakati wote wa maandalizi na kuikamilisha project hii ninapenda kuwashukuru zaidi kwa mioyo yenu iliyojaa upendo mkubwa na uvumilivu wa aina yake.Ninaamini nimewakwaza wengi sana,na wengine wameapa kutokurudi jamiiforums...!mimi ni binadamu na si malaika.NAOMBA MNISAMEHE KWA HILO

Nitaomba nitoe shukrani ya pekee kwa zawadi mliyonipa ambayo imegharimu TZSH 744,000.00.AHSANTENI SANA KWA MOYO WENU WA UPENDO.Ukweli unabaki kuwa hiyo ndiyo ilikuwa zawadi pekee kubwa katika harusi yangu.AHSANTENI SANA ,NA TUNAWAPENDA SANA

Nitaomba nitoe shukrani ya pekee kwa michango mliyonitolea kufanikisha kila lililostahili kuipendezesha harusi yangu.jamiiforums imenichangia kiasi cha TSH 1,105,000.00.AHSANTENI SANA!familia ya MR & MRS geoff inawashukuru sana.kwakweli hatuna neno zuri kwa sasa litakalotumika kushukuru zaidi ya AHSANTE

Ninaomba bila kuwakwaza nipewe ruhusa na nitambue pia mchango wa mtu mmoja mmoja KWA KUWATAJA MAJINA.Majina haya hayazingatii kiwango cha mtu alichotoa,NI OUT OF MY FEELINGS

1Sinkala
2Fidel
3Kaizer
4CHrispin
5Nyamayao
6INVISIBLE(NA UONGOZI MZIMA WA JF)
7Next level
8Mwanajamii
9Nguli
10Askofu
11Preta
12Prisca
13Carmel
14Darkcity
15DeNovo
16Pakajimmy
17Triplets
18Firstlady1
19Ziondaughter
20Edson
21JS
22GP
23ALL JAMIIFORUMS MEMBERS

I LOVE YOU GUYS!.......
TUNATARAJIA KUTOA MWALIKO ILI MJE KUMLA MBUZI ATAKAYEOKWA KWA HICHI KIFAA MLICHOTUNUNULIA!...stay tuned na muandae matumbo tu:D:D

CHEERS!
MUNGU IBARIKI JF
 
Noted Mkuu, pamoja saaaaaana..

Hilo jina no20 lilileta mtafaruku mkubwa sana hilo! I look the name with Bird's Eye!

Impact iliyozalishwa na jina hilo haipimiki, maana kuna mifano hai ya madhara tuliyo'suffer, ambayo binafsi naumia moyo!

Lakini, kama alivyosema Geoff, the human aspect of JF members must be given a due regard!

Nawasilisha.
 
ON THE VERY SERIOUS NOTE!...nimerudi kazini rasmi leo,na kwakweli maisha yanaendelea!
JF FOR LIFE
 
Mi nakushukuru kwa kunilisha wow! wow! wow! kwa hiari yangu. Na kale kaulanzi pia kalinichangamsha.Ukioa tena usisite kunambia.
 
.........Yesu akamuuliza wako wapi wale kenda wengine waliopona,Mbona ni huyu msamaria pekee amerudi kumshukuru Mungu?.............
Ubarikiwe na Bwana.
 
.........Yesu akamuuliza wako wapi wale kenda wengine waliopona,Mbona ni huyu msamaria pekee amerudi kumshukuru Mungu?.............
Ubarikiwe na Bwana.

Ndo nachokupendeaga tu mama. Huchezi mbali na maandiko!
 
tunakutakia maisha mema yenye fanaka................... kumbukeni kumaliza kila neno litakalojitokeza kati yenu ndani ya chumba chenu na kabla siku nyingine haijaingia, hiyo itawaepusha na mengi yanayoaminiwa kuwamo ndani ya ndoa................Mungu awabariki sana............
 
nitahakikisha nimapata MOVIE ya tukio zima then nitawaita geto watu wangu wote tumle mbuzi,tuangalie movie na tukate maji kama kawaida
 
Noted Mkuu, pamoja saaaaaana..

Hilo jina no22 lilileta mtafaruku mkubwa sana hilo! I look the name with Bird's Eye!

Impact iliyozalishwa na jina hilo haipimiki, maana kuna mifano hai ya madhara tuliyo'suffer, ambayo binafsi naumia moyo!

Lakini, kama alivyosema Geoff, the human aspect of JF members must be given a due regard!

Nawasilisha.

PJ Bana! Hahaha! Nimekugongea Senksi kwa ubunifu wako. Japo nimekuelewa vema!
 
nitahakikisha nimapata MOVIE ya tukio zima then nitawaita geto watu wangu wote tumle mbuzi,tuangalie movie na tukate maji kama kawaida

Afta Kwarezma... Pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!!
 
tunakutakia maisha mema yenye fanaka................... kumbukeni kumaliza kila neno litakalojitokeza kati yenu ndani ya chumba chenu na kabla siku nyingine haijaingia, hiyo itawaepusha na mengi yanayoaminiwa kuwamo ndani ya ndoa................Mungu awabariki sana............

Afu wewe ndugu yangu ulianzaga vizuri sana hapa kwenye jamvi. Sijui nani alikubadilisha! Nilijua nimepata mfuasi kumbe ilikuwa nguvu ya soda?
 
ON THE VERY SERIOUS NOTE!...nimerudi kazini rasmi leo,na kwakweli maisha yanaendelea!
JF FOR LIFE

Why should the wedding ring be worn on the fourth finger?

There is a beautiful and convincing explanation given by a Chinese Legend...

Thumb represents your Parents
Second (Index) finger represents your Siblings
Middle finger represents your-Self
Fourth (Ring) finger represents your Life Partner
& the Last (Little) finger represents your children

Firstly, open your palms (face to face), bend the middle fingers and hold them together - back to back
Secondly, open and hold the remaining three fingers and the thumb - tip to tip (As shown in the attached figure):

Now, try to separate your thumbs (representing the parents)..., they will open, because your parents are not destined to live with you lifelong, and have to leave you sooner or later.
Please join your thumbs as before and separate your Index fingers (representing siblings)...., they will also open, because your brothers and sisters will have their own families and will have to lead their own separate lives.

Now join the Index fingers and separate your Little fingers (representing your children)...., they will open too, because the children also will get married and settle down on their own some day.

Finally, join your Little fingers, and try to separate your Ring fingers (representing your spouse).
You will be surprised to see that you just CANNOT....., because Husband & Wife have to remain together all their lives - through thick and thin!!

ISN'T THIS A LOVELY THEORY?
 
Attachments

  • Index Fingers.bmp
    50.2 KB · Views: 46
Mi nakushukuru kwa kunilisha wow! wow! wow! kwa hiari yangu. Na kale kaulanzi pia kalinichangamsha.Ukioa tena usisite kunambia.
Babu
Katika shauri zooote ulizowahitoa hapa jamvini, hapa kwenye red umeniacha na kenua meno yangu yote 16!! Duh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom