Shukrani MMU zoezi limezaa matunda

........Kwahiyo humu inaonekana nipo kwenye kiwango cha juu cha uhongaji japokuwa sijafikia viwango vya kuhonga gari na kiwanja, lakini kwa takwimu hizi!! mmhhh!

Mmmmh wahonga sh. ngapi wewe?
 
Mmenistuwa kuijumuisha 10,000= kwenye amount za kuhonga, wakati mimi naiconcern kwenye hela ya vocha tu!!

Ohhhh no.
Hapo nilipoongelea 10 000 nilikua naongelea wakiwa wanandoa alafu ukute hicho ndio kiasi walichonacho kwaajili ya matumizi ya siku, mke akaitumie yote saluni huku nyumbani wakilalia ugali wa kachumbari.Yani badala ya kununua vitu wanavyohitaji, mf mboga.
 
Ur right, na siku hizi inabidi tujifunze kununuwa chakula angalau cha kutumia wiki mbili kuavoid hizi kodi za meza za daily routine. ila Bongo Tanesco ndio wanaharibu bajeti watu wanashindwa sasa hivi kununuwa nyama nyingi na kuhifadhi kwenye friji.
 
Tanesco kweli wanaharibu.
Ila vipo vitu vingine vingi ambavyo unaweza kununua jumla hata kama kuna tatizo la umeme, mf. Mchele, unga wa ugali na ngano, viazi (ni kiasi tu cha kuviweka kwenye sakafu), vitunguu, maharage, dagaa, mafuta, chumvi, sukari, majani ya chai, viungo, na vingine vingine.Ukiwa navyo hivyo vyote, kwa siku hutolazimika kutumia zaidi ya sh. 3000.Kwaajili ya mboga na viungo ambavyo vinahitaji kuwa fresh. . . nyanya, hoho n.k
 
Haya ndio maisha yangu, na kwa style hii nadhani unasave mpaka 30% of ur budget kama ungekuwa unanunuwa kwa mfumo wa daily.
Watanzania wengi huku mitaani tunapoishi bado hawajaelimishwa wakalilewa somo hili, wao kila siku wanawake utawaona safari za gengeni asubuhi haziishi, ndio maana hawawazi lolote nje ya kupika na kupigwa brush tu, sometime binadamu anatakiwa arelax sio kila siku kuonana na muuza genge sokoni.
 
True that.
Sema wengine wanafurahia hizo safari za gengeni kila siku maana huko ndo angalau hua wanaulizwa kama wamesuka mtindo mpaya, au kuambiwa wamependeza kwasababu nyumbani mzee kazi yake ni kufoka foka tu.
 
He he he bora King'asti kaniwahi kuuliza umri maana hiyo Tshs. 30,000/= ndo unajitapa nayo atapanga cha kuifanyia??? Mweeehhh wakati wengine mmmhhh ngoja ninyamaze
 
Back
Top Bottom