Shukrani Mbunge Ridhiwan Kikwete kwa kusimamia upatikanaji wa Maji Chalinze

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Tangu nimekaa hapa Chalinze miaka sasa sijawahi kuona maji yakitoka usiku na mchana kwa wiki mbili mfululizo. Tulikuwa tunakaa mwezi mzima hata mitatu bila bomba kutoa hata tone la maji. Siku hizi maji tele.

Mungu akubariki sasa chief wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…