Tangu nimekaa hapa Chalinze miaka sasa sijawahi kuona maji yakitoka usiku na mchana kwa wiki mbili mfululizo. Tulikuwa tunakaa mwezi mzima hata mitatu bila bomba kutoa hata tone la maji. Siku hizi maji tele. Mungu akubariki sasa chief wetu!