Pole sana Mungu wa mbinguni alie hai awataie nguvu na moyo wa uvumilivu. Mlimpenda baba lakin Mungu kampenda zaidi. RIP BABA. Na Zaburi ya 121 iwafariji. Amen.
JS pole nyingine tena. Kwa sisi tulio mbali tupo nawe katika sala. Mungu azidi kukupa nguvu na usichoke kumshukuru kwa kila jambo. Asanteni nyote mliotuwakilisha kwa namna moja au nyingine mungu awazidishie na kuwajaza roho wake wa upendo. Mbarikiwe sana sana.