Nimepokea mshahara siku nne zilizopita (kutoka serikalini)
Kwa kweli ninawiwa kuishukuru serikali yetu shupavu inayoongozwa na chama kikongwe. Mpaka sasa mshahara bado haujaisha na inawezekana ukanifikisha Ijumaa kuu.
Hongera sana viongozi wa chama na serikali.
Kusifia ni muhimu.