Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,934
- 8,151
Ndugu zangu.
kwanza kabisa Nipende kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyonijalia maishani mwangu ..
Pili Nipende kuwashukuru wana jf wote kwa mawazo yao na ushauri wao kuhusu changamoto aliyokua anaipitia mke wangu..
Tatu.. salamu hizi za shukrani ziende kwa mwanadada mmoja aliyejitolea kunifata inbox (in box nilifuta chart ) na kunishauri sana kuhusu tatizo la mke wanagu, alisema hata yeye aliwahi kupitia adha kama hiyo akawa bega kwa bega na mimi kunisaidia kwa mawazo na ushauri , pia aliwahi kuwekaga uzi huku kuhusu changamoto yake akiwa anaomba wadau ushauri..
Ndugu dada mpendwa.Popote ulipo nisamehe nilipoteza namba yako kwa kuibiwa simu na ID yako nimejaribu sana kuikumbuka ila bado naona nimeisahau .. popote ulipo mimi ni yule kijana uliyekua unanishauri sana vitu vya kufanya ili mke wangu homone zake zikae sawa aweze kubeba ujauzito. Nakushukuru sana.. mke wangu alikuja kujaliwa kubeba ujauzito na teyari amejifungua bila kupoteza gharama nyingi . Nilitumia njia zile zile za kiasili amekaa sawa..
Uonapo uzi huu ni shukrani zangu za dhati kwako na kwa muda uliokua unajitoa sana kuwa na mimi.. ukinikumbuka jina langu halisi nilikutajia lina herufi nne linaanza na herufi "J " na nina namba zinazoishiwa na 84 na 54 tulizo kua tunawasiliana nazo. nitafute nipate namba yako
Mwenyezi Mungu akubariki sana..
Reference.

Ndugu zangu salaam
Mke wangu anajumla ya mzunguko wa siku 25 . mwezi uliopita aliona siku zake tarehe 11/08 /2024 na nilikutana nae kimwili kwenye siku zake za hatari kwanzia tarehe 8/08 mpaka tarehe 15/08/2024 kwa sababu tulikua tunataka mtoto.
Alitarajia kuona siku zake tarehe 05/09/2024 ila cha kushangaza hakuingia japo mwanzo alikua anadai anahisi kichefuchefu, joto kupanda, uchovu na maumivu kwenye ziwa lake la kulia.
Kwasababu lengo letu ni kupata mtoto hatukuhangaika kupima ili tujue kama mimba imesha tunga au laha
Soma Pia: Je, ni mimba imeharibika au ni mzunguko wake...

- Loading failed
- mimba kuharibika period ya mwanamke
- Replies: 17
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Ndugu zangu salaam
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba.
Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa kutungisha mimba hamna kabisa zaidi utamhisi kwa ndani ni mbichi kidogo na ukipump dk chache anakauka tena.
Amejaribu kutumia maji ya bamia, chai ya mdalasini, karafuu na tangawizi bila kuweka sukari, pia juice ya beetroot bila mafanikio.
Mzunguko wake inshort haueleweki anaweza akawa na siku 25,26...

- kukosa mimba mke mke wangu tatizo uke uke mkavu wangu
- Replies: 88
- Forum: Jamii Health (Jukwaa la Afya)