Shukrani kutoka kwa nitonye

Hii lugha isiyo rasmi hairuhusiwi hapa. Edit comment plz

nitonye ameelewa,neno "mwagila'ibi" kwa mhaya lina uzito wa kipekee kwa mtu aliyetoka mazikoni ,uliza mhaya yeyote halina direct translation kwa kihaya,kuna tatizo? Tatizo ni kutukana mtu katika lugha asiyoielewa.
 
Last edited by a moderator:
Sasa sie yutajuaje kama umetukana ama haujatukana? Huku antactica nilipo hakuna mhaya hata mmoja manake ile mboga ya wadudu haipo kabisa.

ndo mana mandieta haoni ndani pou kumbe ni mueskimo?
 
Last edited by a moderator:
Omukama Abagumise waitu. Pole rafiki bwana mdogo tutamuona tena Paradiso!

Tupo pamoja Nitty.
 
Poleni sana na Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu na faraja!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…