Shukrani kutoka kwa Freeman Mbowe

Bora tu amefanya hivyo, maana kuna watu hawakosi sababu za kulahumu. Wangeanzisha uzi kuwa Mbowe hana shukrani kabisa.
 
Sisi wana CHADEMA wa Kutukuka tumekuelewa kabisa Mwenyekiti wetu wa Kudumu na Milele.
 
Ni makosa kusema Mwenyekiti wetu ni wa kudumu, ni kinyume na sera/mfumo wa chama chetu cha Demokrasia na Maendeleo!!!

Sasa kama anang'ang'ania na hataki Kuwaachia wengine Sisi Wanachama wa CHADEMA ( GENTAMYCINE nikiwemo ) nikisema ni Mwenyekiti wetu wa Kudumu na Milele nitakuwa nakosea? au Wewe ni CCM Mkuu? Hebu niache na CHADEMA yangu tafadhali.
 
Hizo ni propaganda za kihuni tuu! Hakuna mwanachama halali wa chadema anaweza kuthibitisha tuhuma hizo!!

CDM ina watu makini sana, hatuendeshwi kindezi kama unavyotaka kutuaminisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…