nellymlay
Member
- Jul 5, 2016
- 16
- 15
UNCLE NIMEAMINI WEWE ULIKUA NA AKILI NYINGI SANA..
IVII....
-Uliwezaje kulipa wafanyakazi hewa na wasio hewa
-Kumlipa Kocha wa Taifa stars
-Kulipia wanafunzi hewa na wasio hewa
-Fedha za kujikimu za wanavyuo hewa na wasio hewa
-Wa vyeti feki na wale wa halali
-KUTOA AJIRA ZOTE KWA MDA BILA LONGOLONGO hewa na wasio hewa
-Kulipia Miradi yote Mikubwa Kubwa kama kulipa ma engineer waliojenga Uwanja wa Taifa n.k
-Kuishi na matajiri bila ata kuwadai kodi
-Kulipia bunge Live
-Kulipia semina elekezi na safari zote za nje
-Kuwanunulia wabunge wote magari ya gharama na luxury
-Kugharamia sherehe na karamu zote za kitaifa
-Bandarini meli Zilifurika kwa mwezi zilikua kama 50-60 ila sa ivii ni 16-22
-Majirani walikuchokoza yule binamu paul na wifi yrtu yule wa malawi ila uliwapotezea na kukaa kimya bila shidaa na uliendelea kutabasamu nao
.Pamoja na Tuhuma,Kashfa na Skendo kubwakubwa lakini nchi haikuyumba na watu tuliishi maisha ya AHUENI na pesa zilikuwepo uku watu wakinawiri na kujawa na tabasamu na furaha nyingi kwenye nyuso zao kama wewe........Ila Ukatuahidi utatuletea Nduguyo yaani mwenye mazuri na matamu kama yako ILA KINACHOTUKUTA SASAA UNCLE, UNCLE NI SHIDAAH HAMNA AJIRA TENA NA WASOMI SA IVII TUNAUZA NYANYA YAANI TUMEZALISHA MPAKA SOKO LIMEANGUKA ALAFU NYANYA ZOTE NI ZA DIPLOMA,DEGREE NA MASTAZ...HE HE HE HE.. UNACHEZA NINI.. BUNGENI NI UBABE NA VISA PESA ZINADAIWA ETI WALE SHEMEJI NA BA WADOGO ZETU WAMEZICHIMBIA ..IVO UKU MTAANI KUZIPATA NI SAWA NA KUMUONA KAKAKUONA NA WATU WOTE WASHAPOTEZA LILE TABASAMU ULILOTUFUNDISHA NA WANAHASIRA MBAYA..MAANA UKIJIDAI KUTABASAMU TU AU KUCHEKA UTAAMBIWA WE UMELIPA KODI KWELI AU UTAKUA HEWA LETA VYETI VYAKO VYOTE HAPA..NA UKITANIA TUU KESHO KWENYE MAGAZETI WATARIPOTI UMENG'OLEWA MENO KAMA ONYOO ..UKISEMA TUU LABDA UENDE BAR UPATE ATA KAKICHANGAMSHI KA AKILI MUDA WA KAZI IMEKULA KWAKO UTAFUKUZWA NCHINI KABISA MAANA KUNA YULE ANKO KITWA HATUJUI ALIPO SIJUI NDIO ALISHAHAMA NCHI? HATUJUI.
MI NAOMBA TUU JARIBU KUMTEMBELEA UYO NDUGUYO UMFUNDISHE KUTABASAMU KIDOGO ILI ANGALAU MATUMAINI YETU YARUDI LA SIVYO TUTAKUA WAKIMBIZI NCHINI KWETU MAANA SA IVII KODI NI KILA KONA ATA UKIOA TUNASUBIRIA KUSIKIA KODI TUU ILA NDUGUYO ALISHASEMA TUFIATUE TU WATOTO ETI KWA SABABU ELIMU NI BURE SI JUIII LABDA ILI BAADAE APATE KODI NYINGI....ILA NI HAYO TU YAPO NA MENGINE MENGI WATAKUELEZA......
Credit to [HASHTAG]#Kienja[/HASHTAG]