Shujaa

Shujaa

Rais toa ufafanuzi juu ya kilichotokea haijalishi nilikuwa sawa au la! The issue lazima uzingatie mamlaka zilizoko juu yako zina maoni gani kabla ya kutoa maelekezo.

Alichofanya NAPE ni wazi kuwa ni usaliti kwa boss wake President. Watu wengi mnalopoka hamjui mkuu wa ile mission ni nani? Mtambue hii vita inataka kunyamazishwa kwa upuuzi wa wajinga wachache regardless makonda ana mapungufu why wauza unga wajifiche nyuma ya madhaifu ya makonda.
Gooood Thought
 
Ushujaa upi? ha ha ha...sie watanzania wa mitandaoni lazima kuna mtu katuharibu akili si buree!

ha ha ha haaaaa....eti shujaa jaman hebu tuwe na kiasi ha ha ha haaaa
Safi nakuelew sana wiser 1
 
ana makosa mengi ila kwa hili tumpe hongera kathubutu
hakuna kitu, mtu aliambiwa ukiko kuna viwashawasha, akaendelea kuwepo, leo kawashwa anapakimbia tumwite shujaa! hakuna kitu kabisa!
 
Hana lolote mbumbu huyu! Asiyejua system inavyofanya kazi ndiyo anaweza kumpongeza Nape.

Ndiyo mjue nguvu ya wauza madawa ila kwa JMP watasander tuuh...!

Go! Go! Go! Magufuri utarekebisha huko mbelembele.
English please
 
Ushujaa upi? ha ha ha...sie watanzania wa mitandaoni lazima kuna mtu katuharibu akili si buree!

ha ha ha haaaaa....eti shujaa jaman hebu tuwe na kiasi ha ha ha haaaa
English please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom