othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,697
- 12,214
Ccm HoyeeAcha wivu huo
Majaliwa alifanya kazi yake na ikaenda vizuri
Tujadili kwa hoja mkuu Sina wivu.Acha wivu huo
Majaliwa alifanya kazi yake na ikaenda vizuri
Hakuna uhoja ulioandika hapo maana hukuwepo kwenye ukio.Tujadili kwa hoja mkuu Sina wivu.
Shida ni ukabila ndio umekutawala nipinge kwa facts we bishanga.Hakuna uhoja ulioandika hapo maana hukuwepo kwenye ukio.
Dah umeanza maswala ya ukabila tena. Basi tena nikuacheShida ni ukabila ndio umekutawala nipinge kwa facts we bishanga.
Stuka usingiziniBasi tufanye ww ndio uliwaokoa umerizika?
Jitu zima kumuonea wivu kijana mdogo kama huyo ni aibu kubwa na ni uchawi.
Hata kama sio yeye aliye vunja mlango lakini kitendo cha kuhatarisha maisha yake kwa kujitosa ndani ya maji kwa lengo la kuokoa watz wenzake wakati askari wenye dhamana walikuwa wamesimama ufukweni wakiangalia tu huo ni ushujaa tosha.
Acha wivu maana hata hiyo wivu haitabadilisha chochote zaidi ya kujiumiza moyo wako.
Ok tufanyeje ni ziwani vp kuhusu hero wetu na kwa aliyoyafanya?
Ndio kusema yy pekee ndio alikuwepo eneo la tukio[emoji20]Basi tufanye ww ndio uliwaokoa umerizika?