Shughulika recruitment ni matapeli

Shughulika recruitment ni matapeli

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,335
habari wadau
hii shughulika recruitment ni matapeli na wanyonyaji kupita kiasi,nakumbuka niliwahi kuitwa kwenye inteview kwenye ofisi zao nikaenda baada ya interview siku iliyofuata waliniita tena wakaniambia nimepita ila inabidi nionane na client wao(ambae ndo kampuni ilitaka kunichukua) nikaonana na director wa hiyo kampuni nae akanifanyia interview alikua mzungu pia akanikubali na salary tukakubaliana for starting laki nane na nusu ila akaniambia salary inapita mikononi mwa hao shughulika recruitment, mi nikachukulia poa ila kabla sijasaini contract na mzungu ikabidi niwahoji shughulika kwamba salary inapopita mkononi mwao wanakata shilingi ngapi ili nijue mimi nabakiwa na shilingi ngapi? walichonijibu nilijikuta nimechana ile contract katikatoi nikamtupia nikaondoka

eti fifty percent yani nifanye kazi mimi mshahara nigawane nusu kwa nusu na wapiga debe tuu aaah nyambaf sijui hizi recruitment agents zinatupeleka wapi
 
Ahhh huo kweli ungese mkuu
 
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji
 
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo..

Wewe umeona point hapo ni mtu kuitwa tapeli na sio kukatwa 50% ya mshahara kwa kipindi chote atakachofanya kazi. Huo ni utapeli na wewe pia ni tapeli kwa sababu kwako wewe umeona ni sawa. Tuache kunyonyana watanzania
 
asante kwa kunisaidia kujibu mkuu
 
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji

ni matapeli tu maana wanakuahidi kazi mshahara wanajilipa wao
 
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji

Vyovyote vile iwavyo, ujumbe umefika
 
Tatizo la ajira tanzania limekua fursa kwa wengine,,,hizi ndo fursa wanazotangaza ndugu zetu wa mikocheni
 
habari wadau
hii shughulika recruitment ni matapeli na wanyonyaji kupita kiasi,nakumbuka niliwahi kuitwa kwenye inteview kwenye ofisi zao nikaenda baada ya interview siku iliyofuata waliniita tena wakaniambia nimepita ila inabidi nionane na client wao(ambae ndo kampuni ilitaka kunichukua) nikaonana na director wa hiyo kampuni nae akanifanyia interview alikua mzungu pia akanikubali na salary tukakubaliana for starting laki nane na nusu ila akaniambia salary inapita mikononi mwa hao shughulika recruitment, mi nikachukulia poa ila kabla sijasaini contract na mzungu ikabidi niwahoji shughulika kwamba salary inapopita mkononi mwao wanakata shilingi ngapi ili nijue mimi nabakiwa na shilingi ngapi? walichonijibu nilijikuta nimechana ile contract katikatoi nikamtupia nikaondoka

eti fifty percent yani nifanye kazi mimi mshahara nigawane nusu kwa nusu na wapiga debe tuu aaah nyambaf sijui hizi recruitment agents zinatupeleka wapi

Kweli limenigusa na kunishangaza. Huo ni unyonyaji mkubwa. Utaratibu mzuri wa recruitment agency ni kutomcharge Work seeker, kutomkata mshahara wake ila kumfanya awe sawa na wale aliowakuta katika kampuni inayohitaji mfanyakazi. Kwa mfano sisi tunatoa huduma za Recruitment lakini utaratibu wetu ni kutomcharge work seeker bali tunaicharge kampuni.
 
WATZ wengi wenye kampuni zinazoinukia wamelenga kwenye faida (profit) zaidi badala ya kutoa huduma bora (Goodwill). Nilipata kazi kwenye kampuni 1 niliyoyakuta nilishangaa. Mkurugenzi hajali kabisa maslahi ya wafanyakazi na mazingira ya kazi. Kila mara ni ahadi, kampuni inapata kazi, kazi zinafanyika kwa tija na ufanisi hadi wenye kazi wanaandika barua za kutupongeza. Binafsi nikajiuliza hivi nini tafsiri ya msomi, nilipopata jibu nikaacha kazi.
 
Ila huoni kama umewadhalilisha kuwaita matapeli? Tapeli ni mtu anaye chukua pesa kutoka kwako akikuahidi huduma ambayo haipo.Neno sahihi hapo ni " unyonyaji" ulipaswa useme shughulika recruitment ni wanyonyaji
LIKUD mtutu yeyote hawezi kuwa mnyonyaji bila kutumia lugha ya utapeli, sema neno ni lilelile ila unajaribu kulipunguza makali yake tu.
 
Last edited by a moderator:
Yule mkenya Catherine mwenye hio shughulika hana maana kabisaaaa! Yaani kabisaa kabisaaa! Alinitafutiaga kazi, nikaenda uzuri tu, eti mshahara Laki mbili na nusu na kadegree changu afu kazi ya ngumu! Thubutu yakeee! Nikamwambia SIFANYI!!!!!!!!!!!! ALINUNA HUYO!
 
Back
Top Bottom