Kweli limenigusa na kunishangaza. Huo ni unyonyaji mkubwa. Utaratibu mzuri wa recruitment agency ni kutomcharge Work seeker, kutomkata mshahara wake ila kumfanya awe sawa na wale aliowakuta katika kampuni inayohitaji mfanyakazi. Kwa mfano sisi tunatoa huduma za Recruitment lakini utaratibu wetu ni kutomcharge work seeker bali tunaicharge kampuni.
Yule mkenya Catherine mwenye hio shughulika hana maana kabisaaaa! Yaani kabisaa kabisaaa! Alinitafutiaga kazi, nikaenda uzuri tu, eti mshahara Laki mbili na nusu na kadegree changu afu kazi ya ngumu! Thubutu yakeee! Nikamwambia SIFANYI!!!!!!!!!!!! ALINUNA HUYO!
Kweli limenigusa na kunishangaza. Huo ni unyonyaji mkubwa. Utaratibu mzuri wa recruitment agency ni kutomcharge Work seeker, kutomkata mshahara wake ila kumfanya awe sawa na wale aliowakuta katika kampuni inayohitaji mfanyakazi. Kwa mfano sisi tunatoa huduma za Recruitment lakini utaratibu wetu ni kutomcharge work seeker bali tunaicharge kampuni.
zipo opposite na diamond jubilee
Tatizo hakuna sheria inayo regulate shughuli za madalali. Wizi wa madalali ni janga la kitaifa, kuanzia kwenye upangaji nyumba, biashara, nk. Mbaya zaidi mapato yao hayana value added tax!
Kweli limenigusa na kunishangaza. Huo ni unyonyaji mkubwa. Utaratibu mzuri wa recruitment agency ni kutomcharge Work seeker, kutomkata mshahara wake ila kumfanya awe sawa na wale aliowakuta katika kampuni inayohitaji mfanyakazi. Kwa mfano sisi tunatoa huduma za Recruitment lakini utaratibu wetu ni kutomcharge work seeker bali tunaicharge kampuni.
ahahaaaa hapo bado hamjagawana? au baada ya mgao?Yule mkenya Catherine mwenye hio shughulika hana maana kabisaaaa! Yaani kabisaa kabisaaa! Alinitafutiaga kazi, nikaenda uzuri tu, eti mshahara Laki mbili na nusu na kadegree changu afu kazi ya ngumu! Thubutu yakeee! Nikamwambia SIFANYI!!!!!!!!!!!! ALINUNA HUYO!
Hahaaaa ulifikiri wafukia makaburi mpwahabari wadau
hii shughulika recruitment ni matapeli na wanyonyaji kupita kiasi,nakumbuka niliwahi kuitwa kwenye inteview kwenye ofisi zao nikaenda baada ya interview siku iliyofuata waliniita tena wakaniambia nimepita ila inabidi nionane na client wao(ambae ndo kampuni ilitaka kunichukua) nikaonana na director wa hiyo kampuni nae akanifanyia interview alikua mzungu pia akanikubali na salary tukakubaliana for starting laki nane na nusu ila akaniambia salary inapita mikononi mwa hao shughulika recruitment, mi nikachukulia poa ila kabla sijasaini contract na mzungu ikabidi niwahoji shughulika kwamba salary inapopita mkononi mwao wanakata shilingi ngapi ili nijue mimi nabakiwa na shilingi ngapi? walichonijibu nilijikuta nimechana ile contract katikatoi nikamtupia nikaondoka
eti fifty percent yani nifanye kazi mimi mshahara nigawane nusu kwa nusu na wapiga debe tuu aaah nyambaf sijui hizi recruitment agents zinatupeleka wapi