Tulia kijana mwenzangu, timiza malengo yako, hao huwa hawana shukrani na wanapita tu, tafuta vyako iko siku atakuabisha japo kwa sasa unajiona kidume. Kwanza una uhakika gani kuwa upo mwenyewe maana ushasema ni shugamami,na huyo alonae mwine katulia? tafakari sana usikurupukie maisha. Mafaniko hayana shortcut, by the way ''shortcut is a long way''. Ukimwi, ukimwi, ukimwiii upo mlangoni kwako ni uamuzi wako kufungua au kufunga.