Shugamami ananitamani

Ulimuuliza UKIMWI anao na jinsi gani kapata hizo mali ??

Au umeangalia hela tu ??

ila kuoa miaka 23 yataka moyo

hapo sasa mkuu ndo ushangae mi nilimuuliza akajibu heti amepata yeye peke yake .
 

miaka 23!umeoa!unaishi kwa kubet+token za kichina...kumbe kuoa ni rahisi hivi???
wallah na Mimi naoa kesho
 
mkuu hata leo nimeonana nae akaniomba nipakize kwenye pikipiki tukaongee ila nikampiga chenga.

Aiseeee..............

Kweli wewe ni mvulana, kubishana na wewe ni kujitafutia headache tu, fanya upendavyo........
 
Xaxa apo yupi anamtaka mwenzake wew au yeye
 
Wewe ndiyo unamtamani mammy sugar wa watu na wala siyo yeye.
 
Weka heading HIV shida zangu zinanifanya nimtaman MTU mzima
 

usikute anataka umtafutie mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…