Shugamami ananitamani

Shugamami ananitamani

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,533
Habari zenu wana jamvi!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimeoa na nina mtoto mmoja na maisha yangu sio mazuri sana huwa napenda kubet sana au kucheza game za token zile za wachina.Sasa jumatano iliyopita nikiwa navuta vuta muda wa game ya chelsea na porto nikasema ngoja nikapige game la token kidogo kwa huyo mama ile nafika tu akaniambia token zimeisha pia akaniomba simu yangu aongee na mtu nikampa akaingia nayo dukani kwake kama dakika 15 hivi nilipoona muda unaenda bila kutoka nje nikaamua kumuita akaja tukakaa kwenye form tukiwa wawili tu nikaanza kumchokoza nikamuuliza hivi hii nyumba ni yako?

Akanijibu ni yake pia ana pikipiki 3 na nyumba anazo jumla 2 pia ana duka ila amekosa kitu kimoja tu nikamuuliza kitu gani akasema anahitaji mtu amuoe ila nikazidi kumpeleleza je ni mtu wa aina gani anaemtaka akasema asiwe mvuta bangi, mvuta sigara, mnywa pombe ila kila kitu atampatia akaniuliza je kati ya hivyo vitu natumia angalau kimojawapo nikamjibu hapana .Ile kukaa kidogo tu akaja jamaa flan pale tulipokuwa tumekaa nikicheki muda ni saa 4:15 usiku ikanibidi nisepe kwenye game ile naondoka tu akaniambia sasa unaenda wapi wakati bado tuna maongezi? Nikamjibu kesho nitakuja!

Kiukweli nina shida na hela zake tu ila masuala ya mapenzi sitaki je nifanye nini wadau ili nipate nachotaka bila kufanya nae mapenzi?
 
Ulimuuliza UKIMWI anao na jinsi gani kapata hizo mali ??

Au umeangalia hela tu ??

ila kuoa miaka 23 yataka moyo
 
huyo jamaa aliyekuja saa 4:15 ndiye mwenye sifa hizo na siyo wewe

na pia mbona hakuna sehemu yoyote inayoonyesha kuwa anakutaka?
 
Habari zenu wana jamvi!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimeoa na nina mtoto mmoja na maisha yangu sio mazuri sana huwa napenda kubet sana au kucheza game za token zile za wachina.Sasa jumatano iliyopita nikiwa navuta vuta muda wa game ya chelsea na porto nikasema ngoja nikapige game la token kidogo kwa huyo mama ile nafika tu akaniambia token zimeisha pia akaniomba simu yangu aongee na mtu nikampa akaingia nayo dukani kwake kama dakika 15 hivi nilipoona muda unaenda bila kutoka nje nikaamua kumuita akaja tukakaa kwenye form tukiwa wawili tu nikaanza kumchokoza nikamuuliza hivi hii nyumba ni yako?

Akanijibu ni yake pia ana pikipiki 3 na nyumba anazo jumla 2 pia ana duka ila amekosa kitu kimoja tu nikamuuliza kitu gani akasema anahitaji mtu amuoe ila nikazidi kumpeleleza je ni mtu wa aina gani anaemtaka akasema asiwe mvuta bangi, mvuta sigara, mnywa pombe ila kila kitu atampatia akaniuliza je kati ya hivyo vitu natumia angalau kimojawapo nikamjibu hapana .Ile kukaa kidogo tu akaja jamaa flan pale tulipokuwa tumekaa nikicheki muda ni saa 4:15 usiku ikanibidi nisepe kwenye game ile naondoka tu akaniambia sasa unaenda wapi wakati bado tuna maongezi? Nikamjibu kesho nitakuja!

Kiukweli nina shida na hela zake tu ila masuala ya mapenzi sitaki je nifanye nini wadau ili nipate nachotaka bila kufanya nae mapenzi?

Hongera.....
 
Una bahati! na bahati haziji Mara mbili! Ili maadam katika masharti yake hakuna linalosema lazima usiwe na mke!
Halafu siyo siri wanawake watu wazima 40+ ni watamu usiombe! Ukimgusa anagusika, hawana matatizo maana wameshajua thamani ya mwanaume!
 
hatuwezi kukushauri jambo lisilo la maana kama hilo.. we una familia jwann wataka kujiingiza ktk kazi za kipato zisizohalali.epuka kuishi maisha ya janja janja na wakati unafamilia. kaa chini tafakari maisha yako kwa ujumla, fikiria ni namna gani waweza fanya kazi za kihalali zenye heshima hata kwa wakwe zako. jitafakari ujuzi ulionao au level ya elimu uliyofikia ili utambue kwa ujuze huu na elimu hii naweza pata kazi gani itakayonipa kipato achana na kamari za mipira na hizo game, jiepusha kujichanganya na vijana ambao hawajaoa na wala hawana muelekeo wa maisha, kaa na waliooa wakupe njia nzuri za kulea familia yako. huwezi kunishawishi kuwa utasomesha wanao kwa hela za majimama au kwa games. maisha yamepanda ndugu nawe jipange kisahihi ili umudu wajibu wako kama baba
 
Ungemwambia ukweli tu km wewe huvuti bangi japo unakunywa bangi na sigara ila pombe unavuta pia!

Fanya hivo utatii amri na utapata hela zake bila shuruti ya mapenzi.
 
Pole sana,usitamani kuuza Utu wako kwa Pesa.Utatumiwa Na kuachwa kama Ndom Tu
 
Sijaona kilichokufanya umdhanie anakutamani labda kama wewe umemtamani

upo right mkuu huyu jamaa tamaa zake zinampeleka paaya!!!!
hakuna sehemu alipotamkiwa hapo anahangaika tu....!!!!
 
Back
Top Bottom