Shubiri,tiba ya tumbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shubiri,tiba ya tumbo

Discussion in 'JF Doctor' started by MKUNGA, May 29, 2011.

 1. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wadau,

  naomba msaadajuu ya dawa chungu (huenda kuliko zote) shubiri. Jee dawa hii inatibu tumbo kwa watoto hasa wa kiume?nimemsikia mama mmoja akisema.

  Msaada wenu tafadhali maana baby boy wangu huwa analia sana ila nimewapiga stop wasimpe shubiri bila medical advice.

  Nawasilisha
  .
   
 2. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ya nini kuhangaika ?nenda kwa babu akapige kikombe.
   
Loading...