Maumivu makali ya tumbo nikisimama

omoghaka

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
293
166
Naomba mwenye kujua tiba anisaidie,

Nikisimama wima kwa takribani dakika mbili nasikia maumivu makali tumboni upande was kushoto.Nikikaa au kutembea hali hiyo huisha kabisa.

Nimetembelea Hospitali mbalimbali na kupata vipimo mbalimbali lakini matokeo pakee ninayoyakumbuka ni kuambiwa Nina asidi nyingi tumboni.

Hivi karibuni nimeanza kupiga na kwikwi. Nimejaribu kufanya mazoezi hasa ya kubana tumbo lakini siku zinapita na sioni maendeleo yoyote. Tafadhali sana mwenye kuweza kunipatia ushauri wa dawa yoyote hata ya kienyeji nitashukuru sana.

Naomba sana msaada wenu.
 
Naomba mwenye kujua tiba anisaidie,

Nikisimama wima kwa takribani dakika mbili nasikia maumivu makali tumboni upande was kushoto.Nikikaa au kutembea hali hiyo huisha kabisa...
Unaposema umefanya vipimo tuelewe nini sasa ungesema umefanya vipimo gani ili mtu anapokushauri anaweza akakushauri kuongeza kipimo ambacho ujafanya bado.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom