Mbona zali ana watoto watatu na kapata bwana maarufu na mwenye pesa
Usiwakatishe tamaa dada zetu.. Mungu anakuona ndoa inafanyika hata katika umri wa miaka 40
Dada zangu fanyeni kutu roho yenu inapenda.... Mkumbuke anaeamua ndoa ifanyike mwanaume sasa kama kakudanganya atakuoaa akakupa mimba harafu asikue kosa la nani
Akija mwingine akakupa mimba akasema atakuoa hajakuoa kosa sio lako
Ila jamii inasema kila mtu na baba ake
But kosa sio lenu dada zangu vijana wengi hasa wa dar es silaamu hawapendi kuoa wanakwepa majukumu na sisi wanaume wa mikoani twaonekana WASHAMBA ... Just jokes ila wanaume wa Dar kuna tatizo blv me