Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,604
Yes msela wangu ndio Crax jamaa mwenyewe yuko simple, low profile, humbleDaah kwa hiyo msela mlio kua mnakula nae RB pale mlimani leo hii ndio anapiga haya mapesa!!
Crax Law Partners in association with RK Rweyongeza and Co. Advocates: Shs 227.6 million
and down to earth, very soon kwa wale mnaonijua, mtaniona navuta Range Sport, msinidhanie ni fisadi kwasababu fungu la sisi ma pen pushers haliruhusu kuweka Range Sport barabarani, bali siku nilipomtembelea jamaa home kwake, kule nyuma kwenye junk backyard yake, nikaikuta Range Sport imetelekezwa, akaniruhusu kwenda kui pick anytime, tatizo ni mimi tuu ndio sijawa tayari, from boda boda to Range Sport ni too big leap, after all hapa kwa Mtogole nilikopanga upande mzima, hakuna access ya gari kuingia, kulaza Range Sport CCM haipendezi, Nimetafuta nyumba za kupanga upande mzima zenye gate na car park, hakuna, zote wanapangisha nyumba nzima, na nyingine ni apartments, sisi waandishi na apartments, wapi na wapi?.
Hivyo Range Sport yangu ipo tuu inasubiri nyumba yenye parking, nikaichukue.
P