Shs Billion 10.7 (Usd 4.7 million) imetumika kupigania kesi ya TANESCO vs Standard Chartered Bank (Hong Kong) Limited

PseudoDar186

Member
Mar 18, 2017
77
150
Wanajukwaa,

Nimepitia mchanganuo wa kiasi cha fedha zilizoteketea kwenye hii vita kati ya TANESCO na Standard Chartered Bank (Hong Kong) Limited. Inasikitisha sana sana fedha za watanzania wanyonge na wazalendo zikitekea kiasi hichi! Halafu mwisho wa siku tumeshindwa kesi na tunadaiwa kiasi cha Shs Billion 423.4 (Usd 185.4 million).

Walionufaika ni hawa:

Curtis, Mallet-Prevost, Colt & Mosle LLP: Shs 10.1 billion (Usd 4.4 million). Website yao hii hapa (https://www.curtis.com/). Wapo London hawa sidhani hela zetu zinarudi tena. Kati ya hii, Usd 4 million ni legal fees na Usd 429,877 ni expenses.

Crax Law Partners in association with RK Rweyongeza and Co. Advocates: Shs 227.6 million (Usd 99.7 thousand). Website hii hapa (https://crax.co.tz/about/). Wapo bongo hawa. Hii yote ni expenses peke yake. Hatujaweka legal fees hapa. Inawezekana hatutaki kuaibika kwa sababu mara ya mwisho, hawa wanasheria walitupiga Shs 7.7 billion (Usd 3.5 million) kama legal fees. Soma hapa (https://www.ippmedia.com/en/news/how-tanesco-squandered-30-billion-legal-fees).

International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICISD): Shs 399.5 million (Usd 175,000). Hii ndio hela ya kuwalipa mahakimu wa ICISD kutupiga nyundo ya kichwa!

Kwa nini hatukutumia lawyers kutoka Attorney's General (AG) Offices? Au kutumia wasomi wetu nguli wa Sheria kutoka UDSM, Law School n.k.?
 
Attachments

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,008
2,000
Kuwa msomi kutoka Udsm au AG Oficce sio kigezo cha wewe kuweza kufanya kesi za kidunia hasa za kibiashara kama izi kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia"

Ruge yupo na ushaidi mwingi lakini kashikiliwa utapata wapi ushaidi? kuna technical mistakes nyingi serikali walifanya.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,841
2,000
Wanajukwaa,

Nimepitia mchanganuo wa kiasi cha fedha zilizoteketea kwenye hii vita kati ya TANESCO na Standard Chartered Bank (Hong Kong) Limited. Inasikitisha sana sana fedha za watanzania wanyonge na wazalendo zikitekea kiasi hichi! Halafu mwisho wa siku tumeshindwa kesi na tunadaiwa kiasi cha Shs Billion 423.4 (Usd 185.4 million).

Walionufaika ni hawa:

Curtis, Mallet-Prevost, Colt & Mosle LLP: Shs 10.1 billion (Usd 4.4 million). Website yao hii hapa (https://www.curtis.com/). Wapo London hawa sidhani hela zetu zinarudi tena. Kati ya hii, Usd 4 million ni legal fees na Usd 429,877 ni expenses.

Crax Law Partners in association with RK Rweyongeza and Co. Advocates: Shs 227.6 million (Usd 99.7 thousand). Website hii hapa (https://crax.co.tz/about/). Wapo bongo hawa. Hii yote ni expenses peke yake. Hatujaweka legal fees hapa. Inawezekana hatutaki kuaibika kwa sababu mara ya mwisho, hawa wanasheria walitupiga Shs 7.7 billion (Usd 3.5 million) kama legal fees. Soma hapa (https://www.ippmedia.com/en/news/how-tanesco-squandered-30-billion-legal-fees).

International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICISD): Shs 399.5 million (Usd 175,000). Hii ndio hela ya kuwalipa mahakimu wa ICISD kutupiga nyundo ya kichwa!
Kwa nini hatukutumia lawyers kutoka Attorney's General (AG) Offices? Au kutumia wasomi wetu nguli wa Sheria kutoka UDSM, Law School n.k.?
Duh...
Hii kitu ya kuendekeza ku practice what you love and makes you happy yanaanza kunitokea puani, mimi mwenzenu nimesoma sheria, LL.B na kusoma Journalism, nika opt kuwa mwandishi for the love of it, doing what you love most, mshikaji wangu, school mate, class mate na room mate amechagua sheria, ndie mwenye Crax Law Patners!.

Sasa ndio nime realize hizi noble professionals kama ualimu, uandishi wa habari kuelimisha jamii hazina mpango, mpango mzima ni kuwasaidia watu wapate haki zao na sio kuwahabarisha na kuwaelimisha.
P
 
aymatu

JF-Expert Member
May 23, 2014
2,034

Ikiwezekana rudi LL.B
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,068

Daah kwa hiyo msela mlio kua mnakula nae RB pale mlimani leo hii ndio anapiga haya mapesa!!

Crax Law Partners in association with RK Rweyongeza and Co. Advocates: Shs 227.6 million
 
stinger_bug

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
858
1,000
Duh...
Hii kitu ya kuendekeza ku practice what you love and makes you happy yanaanza kunitokea puani, mimi mwenzenu nimesoma sheria, LL.B na kusoma Journalism, nika opt kuwa mwandishi for the love of it, doing what you love most, mshikaji wangu, school mate, class mate na room mate amechagua sheria, ndie mwenye Crax Law Patners!.

Sasa ndio nime realize hizi noble professionals kama ualimu, uandishi wa habari kuelimisha jamii hazina mpango, mpango mzima ni kuwasaidia watu wapate haki zao na sio kuwahabarisha na kuwaelimisha.
P
Nadhani humaanishi kuwasaidia watu wapate haki, bali kujisaidia ili upige pesa ndefu ndefu ambazo kwa ualimu hata uwe profesa unaweza kuishia kuzisoma kwenye magazeti tu.
 
Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,535
2,000
Kwa nini waliosababisha hasara hii wasikamatwe?. Nadhani hii ni kesi inayohusu Escrow Account. Mhe. Rais anapopiga kelele kuwa tumeibiwa sana wengi tunamchukia. Utawala wa awamu ya tano imeiokoa Tanzania kwa kiasi kikubwa sana.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
Duh...
Hii kitu ya kuendekeza ku practice what you love and makes you happy yanaanza kunitokea puani, mimi mwenzenu nimesoma sheria, LL.B na kusoma Journalism, nika opt kuwa mwandishi for the love of it, doing what you love most, mshikaji wangu, school mate, class mate na room mate amechagua sheria, ndie mwenye Crax Law Patners!.

Sasa ndio nime realize hizi noble professionals kama ualimu, uandishi wa habari kuelimisha jamii hazina mpango, mpango mzima ni kuwasaidia watu wapate haki zao na sio kuwahabarisha na kuwaelimisha.
P
i taste a pinch of sarcasm sprinkled with the truth
 
stinger_bug

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
858
1,000
Kwa nini waliosababisha hasara hii wasikamatwe?. Nadhani hii ni kesi inayohusu Escrow Account. Mhe. Rais anapopiga kelele kuwa tumeibiwa sana wengi tunamchukia. Utawala wa awamu ya tano imeiokoa Tanzania kwa kiasi kikubwa sana.
Hukumu bado zipo nyingi zinakuja. Bado ya Symbion ya dola milioni 600 na ushee. Halafu binadamu mwenye ubongo wake na viungo vya mwili vilivyokamilika unaipigia CCM kura iendelee kukutawala.
WATANZANIA MKAPANGE FOLENI MIREMBE.
 
stinger_bug

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
858
1,000
Kwa nini waliosababisha hasara hii wasikamatwe?. Nadhani hii ni kesi inayohusu Escrow Account. Mhe. Rais anapopiga kelele kuwa tumeibiwa sana wengi tunamchukia. Utawala wa awamu ya tano imeiokoa Tanzania kwa kiasi kikubwa sana.
Na yeye n8 sehemu ya huo mfumo wa wizi ulioasisiwa na CCM anaoulinda usivunjevunjwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom