Shs Billion 10.7 (Usd 4.7 million) imetumika kupigania kesi ya TANESCO vs Standard Chartered Bank (Hong Kong) Limited

Malegesi?
Duh...
Hii kitu ya kuendekeza ku practice what you love and makes you happy yanaanza kunitokea puani, mimi mwenzenu nimesoma sheria, LL.B na kusoma Journalism, nika opt kuwa mwandishi for the love of it, doing what you love most, mshikaji wangu, school mate, class mate na room mate amechagua sheria, ndie mwenye Crax Law Patners!.

Sasa ndio nime realize hizi noble professionals kama ualimu, uandishi wa habari kuelimisha jamii hazina mpango, mpango mzima ni kuwasaidia watu wapate haki zao na sio kuwahabarisha na kuwaelimisha.
P
 
Kwa hiyo tatizo lako ni hizo dola? Kama ni hivyo, unaweza kutengeneza mazingira ya kuwahabarisha watu na hatimaye pesa ikaingia masaa 24, tena ukiwa umelala. Tatizo siyo taaluma bali "mfumo" utakaotwanga na kukoboa "utaalamu wako" na kutoa sembe. Dogo Ayo teyari anafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom