Shs 500 kuwa sarafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shs 500 kuwa sarafu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwanatz mbabe, Mar 5, 2012.

 1. M

  Mwanatz mbabe Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni ishara gan ktk uchumi wetu?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Pesa inashuka thamani.
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  watoe ya buku kabisa na elfu hamsini ya noti
   
 4. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawa Jamaa wa BOT bogus kabisa
  Wamekaa na wazungu wanashauriwa na wenyewe wanakubali bila kufanya utafiti

  U cant come up with such a move bila kufanya research na kuona impact yake kwenye uchumi
  Wanajua kweli value ya 500 kwa mtu wa kijijini?
  Wao wanaona 500 haina thamani kwao wanafikiri its the same for everyone

  My Take: watuletee sarafu ya Tsh. 300 kabla ya hiyo ya Tsh. 500
   
Loading...